Rostam ni galatia..?Mfalme Aziz
Shujaa Magufuli: Aziz gombea Ubunge Morogoro Mjini
Rostam ni mgalatia anayejitambua😂🔥
Kitambo sana 😂Rostam ni galatia..?
Kuna wakati unazalisha mashudu mzee mwenzanguMfalme Aziz
Shujaa Magufuli: Aziz gombea Ubunge Morogoro Mjini
Rostam ni mgalatia anayejitambua😂🔥
Endelea kukariri 😂Kuna wakati unazalisha mashudu mzee mwenzangu
Acha uwongo wewe,tupo na familia yake hapa mwisi igunga miaka sasaKitambo sana 😂
We ndo yule hausiboi aliyenifungulia geti nilipomletea mama rostam hati zake nn?Acha uwongo wewe,tupo na familia yake hapa mwisi igunga miaka sasa
NdiyoWe ndo yule hausiboi aliyenifungulia geti nilipomletea mama rostam hati zake nn?
Msalimie aiseeh mwambie saivi Niko mjini🙏Ndiyo
InshallahMsalimie aiseeh mwambie saivi Niko mjini🙏
naona deal la umeme Zambia limezinguliwa ili mwamba apate nafasi na hpa ni Rostam na Abdul bila shakaRostam Aziz amekutana na Rais wa Zambia, Haikande Hichilema mjini Lusaka na wamejadiliana kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya nishati na madini.
Taifa group kupitia kampuni yake tanzu ya Taifa Gas tayari imeingia ubia na kampuni ya Delta Marimba ya Zambia kuzalisha megawat 100 kwa kutumia gesi. Uwekezeji wenye thamani ya dola za kimarekani milioni 100.
Karibuni pia Rostam amewekeza nchini Kenya na Rwanda kwa kujenga sehemu za kuhifadhi gesi ya LPG zenye uwezo wa kuhifadhi tani 30,000 na 25,000. Taifa Gas inaangalia fursa kama hiyo nchini Zambia.
Citizen
Deal gani limezinguliwa ?naona deal la umeme Zambia limezinguliwa ili mwamba apate nafasi na hpa ni Rostam na Abdul bila shaka