Rostam abonga na Hichilema kuzalisha umeme nchini Zambia. Pia aangazia usambazaji wa gesi

Rostam abonga na Hichilema kuzalisha umeme nchini Zambia. Pia aangazia usambazaji wa gesi

Ndo tunapigwa sisi machogo,
Escrow,richmond,Agrecco,Vodafone, iptl,
kila aina ya kona kapita huyu mzalendo leo yuko kiti cha mbele pale Zambia.
Huku gesi tumepigishana sana makelele hapa na aliyekua waziri wa nishati.
Hivi mpk tutoke damu masikioni km kenge ndo tutaelewa hatuelewi?
Baba,babu zake na bibi si wanatuhusu nini?
Huyu ujinga wote kaanzia hapo mikocheni kwa mjomba wake toka Iran.
Balozi wa Iran Tz ndo wametuachia hiki kirusi.
Igunga ni jina tu inawezekana hata hapajui.
Unapigwa wapi unajishtukia tu,hamjui kufanya biashara tangu babu zenu,babu zenu walikua na subsistence economy,production to mouth,hao waasia wao wanachowaza ni kukusanya utajiri,hiki wanachofanya waha Leo kumkopesha na kupitia deni baadae,washihiri(wahindi, waarabu na waajemi) wamekifanya tabora miaka ya 40-60,rostam ana kampuni ya madini tangu tisini kweusi
 
Rostam Aziz amekutana na Rais wa Zambia, Haikande Hichilema mjini Lusaka na wamejadiliana kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya nishati na madini.

Taifa group kupitia kampuni yake tanzu ya Taifa Gas tayari imeingia ubia na kampuni ya Delta Marimba ya Zambia kuzalisha megawat 100 kwa kutumia gesi. Uwekezeji wenye thamani ya dola za kimarekani milioni 100.


Karibuni pia Rostam amewekeza nchini Kenya na Rwanda kwa kujenga sehemu za kuhifadhi gesi ya LPG zenye uwezo wa kuhifadhi tani 30,000 na 25,000. Taifa Gas inaangalia fursa kama hiyo nchini Zambia.

Citizen
Alifuatana na mama tena!! Haina shida ila bandari zetu mtuachie! Tumewaachia hela gawaneni na nyingine mpeni Abdul. Lakini bandari zetu beware tik tik tik tik boooooooooooom
 
Naunganisha dot hawa wananchi wa underground wanaokutana na Marais kwa nyakati tofauti kujadiri umeme Wana Siri gani
 
Nchi imegeuka kuwa yake kila ziara za Ris hakosi na anapenyeza mambo yake hii ni hatari sana.

Mbona hatuoni Rais wa Nigeria akizurura na Dangote au Biden akiwa na Bill Gates.

Hili jambo litaleta maafa huko mbeleni.
Fuatilia hata ZIARA za marehemu Magufuli alikuwa akizunguka sana huyu na Huyu ndugu. Na kawaida viongozi wakubwa wa Kitaifa wanapofanya ZIARA kwenye mataifa mengine mara nyingi wamekuwa wakiambana na Waona Fursa.
 
Sasa Abood ataambiwaje agombee Wakati ni Mbunge tayari?

Aliyeambiwa ni Rostam Aziz tena mubashara mkutanoni Mjini Morogoro 😀😀


Nimekuelewa, ni wakati JPM anafungua kiwanda cha ngozi cha Rostam Aziz, Morogoro, JPM alisema Rostam agombee, thanks for the reminder
 
Back
Top Bottom