Rostam abonga na Hichilema kuzalisha umeme nchini Zambia. Pia aangazia usambazaji wa gesi

Rostam abonga na Hichilema kuzalisha umeme nchini Zambia. Pia aangazia usambazaji wa gesi

Tanzanian billionaire Rostam Aziz explores energy and mining investment in Zambia​

Feyisayo Ajayi
2 hours ago
Rostam Aziz

Rostam Aziz

Tanzanian billionaire Rostam Aziz, the chairman and founder of Taifa Group, a prominent conglomerate in East Africa, is venturing into new investment avenues in Zambia’s energy and mining sectors.

This strategic move further extends his business interests across the Southern African region.
Aziz, renowned as one of the wealthiest individuals on the African continent, recently met with Zambian President Hakainde Hichilema on Fri., Oct. 20, to discuss potential avenues for investment within Zambia’s energy and mining sectors. This meeting marked a pivotal step towards enhancing economic cooperation between the two nations.

This development unfolds nearly four months after Aziz, through one of his conglomerate’s subsidiaries, Taifa Gas, a liquefied petroleum gas supply company, unveiled plans for an ambitious $100-million investment in power generation in Zambia.

The prospective power generation initiative seeks to fortify Taifa Gas’s presence in Southern Africa and foster stronger trade and business connections between Tanzania and Zambia.

The power plant, once operational, is expected to inject an additional 100 megawatts of electricity into Zambia’s national grid. This substantial investment positions Taifa Gas to explore a wide array of opportunities related to liquefied petroleum gas (LPG) utilization, ranging from household cooking gas to innovative power solutions.
Aziz expressed his enthusiasm for deepening his business interests in Zambia, stating, “Zambia is ideally positioned to attract more investments, and as Taifa Group, we are committed to facilitating the influx of regional investors to Zambia.

Taifa Gas will capitalize on the robust and positive relationship between Zambia and Tanzania to develop opportunities in the energy and mining sectors, and I’m delighted that we already have local partners.”

Aziz underscored the importance of Hichilema’s invitation, framing it as a call to action for African investors to channel capital into Zambia. He further pledged to expand his network to encourage other businesses to explore Zambia’s numerous opportunities.

These ventures will be undertaken in collaboration with local Zambian investors already contributing to the country’s economic growth.

Aziz, a historical figure in African business, gained international recognition in 2013 when Forbes recognized him as the first Tanzanian to amass a billion-dollar fortune. His extensive business empire spans various sectors, including telecoms, aviation, mining, oil and gas, real estate, and port management.

Taifa Group, the cornerstone of his wealth in recent times, currently stands as one of East Africa’s premier conglomerates, boasting a diversified portfolio of companies engaged in mining, LPG, solar energy, manufacturing, aviation, agro-trading, telecommunications, transportation, and logistics

Source: billionaires.africa
 
#ZAMBIA: ROSTAM AZIZ KUZALISHA UMEME WA GESI ZAMBIA
Mfanyabishara maarufu nchini, Rostam Aziz, kupitia kampuni yake ya Taifa Group, ameingia nchini Zambia ambako ameanza kuwekeza kwenye sekta ya uzalishaji umeme kwa kutumia gesi.

Chini ya kampuni yake tanzu ya Taifa Gas, Rostam Aziz amewekeza kiasi cha awali cha dola milioni 100 katika uwekezaji huo kwa kushirikiana na kampuni ya Zambia iitwayo Delta Marimba.

Mwananchi wa Zambia anapikia umeme, ana friji, ana kila kitu kinachotumia umeme na bado analipa kwa mwezi kwacha 50 ambayo sawa na elfu 5. Sasa huyo Rostam gesi yake anayouza mtungi elfu 30 kwa laki atamuuzia nani? Halafu ameshindwa kuuzia umeme TZ akawauzie Zambia wasio na mgao?

Swali:Rostam ana cheo gani kwanini kila safari ya mama lazima aambatane naye?

20231024_181052.jpg
 
Ana $ 9.6b sasa!?..nimeona wikipedia
Na anachapua na Noah bila wasiwasi,
Sie tuendelee na Soga zetu za bandari,
jamaa katangulizwa huko fursa.
Ila hizi hela mtu unapiga madeal kila siku yanaitika hela hizo anapeleka wapi?
mara unakufa na pressure.
Kuna mahali itafika shetani atakataa kushirikiana nawewe.
Maana ataona utamla kichwa nayeye.
Hizo hela huyu jamaa zinaishiaga wapi?
Igunga huzikuti.
 
Hatafuti hela kwa ajili ya igunga,yeye mwenyewe anaendeleza hela za mababu,atakaopishia vijana watakuja endeleza,ukoo unakaa mbali na njaa
 
Rostam Aziz amekutana na Rais wa Zambia, Haikande Hichilema mjini Lusaka na wamejadiliana kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya nishati na madini.

Taifa group kupitia kampuni yake tanzu ya Taifa Gas tayari imeingia ubia na kampuni ya Delta Marimba ya Zambia kuzalisha megawat 100 kwa kutumia gesi. Uwekezeji wenye thamani ya dola za kimarekani milioni 100.

Karibuni pia Rostam amewekeza nchini Kenya na Rwanda kwa kujenga sehemu za kuhifadhi gesi ya LPG zenye uwezo wa kuhifadhi tani 30,000 na 25,000. Taifa Gas inaangalia fursa kama hiyo nchini Zambia.

Citizen
Huyu fisadi wa kagoda atatupeleka pabaya. Kuna aina ya marais wakishika madaraka Tanzania hupigwa sana. Alikuja Mwinyi tukaanza mambo ya hovyo chini ya ruxa
Alifuatia mbayuwayu baada ya Nkapa naye akafanya yale yale.
Alipokuja jiwe akasafisha kila kitu.
Sasa amekuja manzi, yamerudi yale yale. Hebu chunguza mwenyewe
 
Fikiria dizaini ya wafanyabiashara kina Rostam na rais William Ruto hustler rais Uhuru Kenyatta, rais Freeman Mbowe na rais Hichilema wote hawa wenye background ya biashara nchi hizi zingechangamka vizuri kibiashara maana wanaelewana lugha na mikiki ya biashara za kuvuka mipaka
Duh!
Umemwacha kwa maksudi kabisa Rais Samia katika orodha hiyo, sasa sielewi maana yako ni nini hasa! Wewe huoni akina Abdul Ameir wanavyofanya biashara za kuvuka mipaka kule kwa M7?

Anyway, mpangilio wa hoja yako nzima hapa sielewi ni nini hasa.
 
Hatafuti hela kwa ajili ya igunga,yeye mwenyewe anaendeleza hela za mababu,atakaopishia vijana watakuja endeleza,ukoo unakaa mbali na njaa
Ndo tunapigwa sisi machogo,
Escrow,richmond,Agrecco,Vodafone, iptl,
kila aina ya kona kapita huyu mzalendo leo yuko kiti cha mbele pale Zambia.
Huku gesi tumepigishana sana makelele hapa na aliyekua waziri wa nishati.
Hivi mpk tutoke damu masikioni km kenge ndo tutaelewa hatuelewi?
Baba,babu zake na bibi si wanatuhusu nini?
Huyu ujinga wote kaanzia hapo mikocheni kwa mjomba wake toka Iran.
Balozi wa Iran Tz ndo wametuachia hiki kirusi.
Igunga ni jina tu inawezekana hata hapajui.
 
Rostam Aziz amekutana na Rais wa Zambia, Haikande Hichilema mjini Lusaka na wamejadiliana kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya nishati na madini.

Taifa group kupitia kampuni yake tanzu ya Taifa Gas tayari imeingia ubia na kampuni ya Delta Marimba ya Zambia kuzalisha megawat 100 kwa kutumia gesi. Uwekezeji wenye thamani ya dola za kimarekani milioni 100.

Karibuni pia Rostam amewekeza nchini Kenya na Rwanda kwa kujenga sehemu za kuhifadhi gesi ya LPG zenye uwezo wa kuhifadhi tani 30,000 na 25,000. Taifa Gas inaangalia fursa kama hiyo nchini Zambia.

Citizen
Asipokuwa makini anaenda kupiga na kitu kizito
 
Jambazi

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom