Rostam abonga na Hichilema kuzalisha umeme nchini Zambia. Pia aangazia usambazaji wa gesi

Nchi imegeuka kuwa yake kila ziara za Ris hakosi na anapenyeza mambo yake hii ni hatari sana.

Mbona hatuoni Rais wa Nigeria akizurura na Dangote au Biden akiwa na Bill Gates.

Hili jambo litaleta maafa huko mbeleni.
 
Ukisikia uzalendo, sasa uzalendo ndio huu, na wafanyabiashara Wazalendo ndio hawa!.
P
 
Huyu jamaa atakuja kuwa power house wa energy huu ukanda,
Bado sio player kwenye Petroleum ambapo najua nako soon ataingia kwa nguvu
Naunga mkono hoja, sio tuu kwenye energy, na kwenye extractive industries!, ndie mmiliki wa Petra Diamonds!.
P
 
Nchi imegeuka kuwa yake kila ziara za Ris hakosi na anapenyeza mambo yake hii ni hatari sana.

Mbona hatuoni Rais wa Nigeria akizurura na Dangote au Biden akiwa na Bill Gates.

Hili jambo litaleta maafa huko mbeleni.
Huu sasa ni wivu!. Kwenye dunia ya sasa kuna kitu kinaitwa business strategy, the empire of Dangote is just too huge hivyo Dangote is just too busy kuzunguka na rais wake, ila kila alipo rais wake, Dangote pia yupo by proxy. Bill Gates ndie ana fund USAID, kila alipo Biden, Gates yupo by proxy, pia utafika muda huyu The King Maker wetu, will be everywhere, he will have no time kumsindikiza Mama kila mahali.
P
 
Kwa sasa ni mshauri wa mambo ya uwekezaji na biashara au
 
Naunga mkono hoja,
P
 
Kwa sasa ni mshauri wa mambo ya uwekezaji na biashara au
Nadhani, huyu sasa sio mshauri, maana mshauri ni msaidizi, huyu sio msaidizi, ni zaidi ya msaidizi!, kwa maoni yangu huyu aitwe mkombozi wa taifa kwa mkombozi ya m ndogo ili ile Mkombozi ya M kubwa ibariki kwa Mkombozi wa ulimwengu ambaye ni Masiha.
P
 
Taifa Gas, Caspian Construction Ltd, RA Anapiga Hatua Ndefu Ndefu
Huo Umeme Wa Gas Ndiyo Na Rahisi Ama Utakuwa Kama Richmond
 
HUKO Kote nilikokutaja watu hawawezi fanya kama yunavyofanya sisi maana wapo in their right state of mind.

Sisi hapa uchawa mwingi hakuna wa kuhoji na ukihoji unaambiwa wivu.

Mimi naamini kabisa hili jambo litakuja kuleta shida baadae ni swala la muda tu.
 
Hela hazitoshagi bali mchanga tani saba ndio huwa unatutosha na tunatuliaga tulii bila mizengwe πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™ !
That’s life !!
 
Ameshindwa kuzalisha umeme hapa Tz halafu azalishe Zambia.

Huyu ataingiza nchi ya Zambia mjini
 

Samia ndio ana muuza ? Au tayari ameishapewa share kwenye co?
 
Hahahahaha,anko bhana, eti huyu ni zaidi ya msaidizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…