Rostam abonga na Hichilema kuzalisha umeme nchini Zambia. Pia aangazia usambazaji wa gesi

Unapigwa wapi unajishtukia tu,hamjui kufanya biashara tangu babu zenu,babu zenu walikua na subsistence economy,production to mouth,hao waasia wao wanachowaza ni kukusanya utajiri,hiki wanachofanya waha Leo kumkopesha na kupitia deni baadae,washihiri(wahindi, waarabu na waajemi) wamekifanya tabora miaka ya 40-60,rostam ana kampuni ya madini tangu tisini kweusi
 
Alifuatana na mama tena!! Haina shida ila bandari zetu mtuachie! Tumewaachia hela gawaneni na nyingine mpeni Abdul. Lakini bandari zetu beware tik tik tik tik boooooooooooom
 
Naunganisha dot hawa wananchi wa underground wanaokutana na Marais kwa nyakati tofauti kujadiri umeme Wana Siri gani
 
Nchi imegeuka kuwa yake kila ziara za Ris hakosi na anapenyeza mambo yake hii ni hatari sana.

Mbona hatuoni Rais wa Nigeria akizurura na Dangote au Biden akiwa na Bill Gates.

Hili jambo litaleta maafa huko mbeleni.
Fuatilia hata ZIARA za marehemu Magufuli alikuwa akizunguka sana huyu na Huyu ndugu. Na kawaida viongozi wakubwa wa Kitaifa wanapofanya ZIARA kwenye mataifa mengine mara nyingi wamekuwa wakiambana na Waona Fursa.
 
Sasa Abood ataambiwaje agombee Wakati ni Mbunge tayari?

Aliyeambiwa ni Rostam Aziz tena mubashara mkutanoni Mjini Morogoro 😀😀


Nimekuelewa, ni wakati JPM anafungua kiwanda cha ngozi cha Rostam Aziz, Morogoro, JPM alisema Rostam agombee, thanks for the reminder
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…