Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,906
Bora useme wewe maana hapa hawana focus kabisa na wanajidai wana ushahidi kumbe ni ushabiki ambao mahakama kamwe haiwezi kudeal nao,rangi ya rostam sio ushahidi wa kesi mahakamani.
Mtoto wa Fisadi ondoa mashaka .Tanzania imebadilika sana nadhani wewe hujui .Sasa hivi ni peoples power ndiyo inafanya kazi .Huniamini ? Ngojea utajua soon .Kesi iko na kaweka wakili wake lakini nakueleza kuna mawakili kibao ambao watamsaidia Kubenea tena bure .Kila kitu kiko katika rekodi na Rostam kaweka matako kwenye chuma cha moto lazima anyauke .