Rostam Aishtaki Mwanahalisi

Rostam Aishtaki Mwanahalisi

i dont c whats the fuss is all about.
iwapo mwnahalisi aliandika kwa ushahidi na si kwa kuwa waandishi wake walitumia maneno ambayo hayafai kutumiwa na mtu asiye na ushahidi, then mwanahalisi atashinda.
sasa tatizo lipo wapi?
RA alikuwa na right ya kushtaki kama anajiamini ya kuwa mwanahalisi hawana ushahidi wa kumwita yeye fisadi, na kama amekosea na mwanahalisi walimwita fisadi kwa maana kamili ya neno fisadi na kwa ushahidi walionao, then hakutakiwi kuwe na fuss yoyote kuhusu hili
 
Hamna kesi hapa, MWANAHALISI will reap what they sow. Maybe next time wataona ni bora wangenunua dictionary kwa waandishi wao ili kujua maneno kama vile ALLEGED, ACUSED etc badala ya kuja na cheap headlines za eti fulani ni fisadi bila kuwa na ushahidi wowote wa maana kuthibitisha hilo. Mwanahalisi is the sort of sneering, supercilious, sanctimonious, student-newspaper sort of journalism ambayo sisi wengine hatuwezi kukubaliana nayo. I am not being a snob lakini wana JF know better when they see a rag and interesting newspaper that treats it readers as intelligence human beings instead of kuja humu JF kutuletea intellectual pollution...eti wachangiwe pesa. Why not declare bankruptcy kisha wakalime? Surely Kilimo kinalipa zaidi ya kuandika mambo ambayo hawana ushahidi nayo right?

GT unasema jambo moja muhimu sana; Lazima unapoandika iwe maoni au habari hakikisha unapima kila neno unalotumia. Usitoe kauli yenye kuonesha hukumu.
 
GT unasema jambo moja muhimu sana; Lazima unapoandika iwe maoni au habari hakikisha unapima kila neno unalotumia. Usitoe kauli yenye kuonesha hukumu.



Tafadhali Mkuu,
Jambo gani hilo MUHIMU ambalo GT amesema alfu mimi na wenzangu walio kama mimi hatukuliona katika maneno yake?
 
Kwa sisi tulio karibu na Rostam kupitia kampuni yake ya Caspian, uamuzi wa kulishitaki MwanaHalisi ni uamuzi wa "new mtandao" unaowajumuisha wana-Richmond (Rostam, Lowassa na Karamagi) na Mzee wa Vijisenti. Uamuzi huo ulifanyika wiki mbili zilizopita kwenye kikao kikubwa cha new mtandao na wapambe wao wapatao 25(including journalists wa aina ya Balile, Muhingo, Manyerere) mjini Morogoro. Ni kikao hicho kilichopitisha mkakati wa kuwavua suruali viongozi wafuatao kwa kipindi cha miaka miwili hadi uchaguzi wa 2010: Sitta, Anne Malecela, Mwandosya, Membe, Mwakyembe, Selelii, Anna Makinda na Ole Sendeka, Watamalizia na Kikwete wakati wa "lala salama". Wanania ya kumfanzia hata Mengi, lakini uzito wake kwenye vyombo vya habari unawatisha. Nasubiti kwa hamu kesi hiyo kwa kuwa mengi juu ya new mtandao yataanikwa. Ijabu
 
Heri wa umesema. Lakini kwani tujadilie mate na wino upo? Nani anaile habari ya mwanahalisi tuichambue kwa jicho la kisheria? Mwanahalisi imesema Rostam ni Richmond kwa kunukuu ripoti ya Kamati ya Bunge na Maneno ya Salva Rweymamu aliyoyasema katika kiapo kuwa ni Rostam ndiye aliyempeleka kwa Richmonduli! Rostam sasa itabidi ajieleze mahakamani kwanini anuani yake pepe ilitumiwa na Dowans. Kilichokwepwa kuelezwa bungeni sasa kitaelezwa mahakamani. Now we have to find the best advocate in grilling- the likes of Tundu Lissu, http://www.chadema.net/habari/katuni/2008/index.php

heeheee, i see another Ken Star- unakumbuka Clinton alikana 'I never slept with that woman'?

Halafu hao agenda 21 wanadhani hao wenzao wakina Mwandosya watakuwa Mabangusilo tu? Pengine huu utabiri hapa chini umeanza kutumia

Asha
 
Katika pita pita zangu nimepata sababu hasa ya kwanini wamelishtaki mwana Halisi lakini watakubali apology ya Raia Mwema... hawa jamaa hawajakubali kushindwa bado na anachosema Ijabu ni kweli...
 
Waugwana mimi sioni kesi kwenye hili swala, labda nyinyi mniambie. Huyu jamaa ana sue concern alligation za yeye kuitwa Fisadi au kwa kuwa ana connection na Muhamed Gire owner wa Richmond.

It's time Mwanahalisi kutafuta smart lawyer, hii kesi ni sawa na kupiga farasi aliye kufa.
Few movements can clear jina la mwanahalisi, and cost Rostam strength big time. Tatizo jee mwanahalisi wana Lamwai aliyekwenda shule?

Ni wazi kwamba Muhamed Gire anajuana na Saleh meneja wa Dowans na Dowans ina connection na Rostam. Then nini tatizo, make sure mahaka inaagiza Muhamed Saleh aje atestify under the oath relationship yake na Rostam, then omba plantiff wamlete Gire kwenye mmoja wa mashaidi.

Yaani kesi hii inaweza kuwa judge na public court, yaani waanchi ndio watakao push decision za kesi hii. Malamwai wa defence wanachotakiwa ni kuwin public opinion kwa kuchimba wizi wa rostam.
 
Jamani hivi mwana-halisi wana website ningependa sana kuona hiyo article watu wamayozungumzia hapa , au kama kuna mtu ana copy nilikuwa naomba aipost hapa .
 
Back
Top Bottom