Bora useme wewe maana hapa hawana focus kabisa na wanajidai wana ushahidi kumbe ni ushabiki ambao mahakama kamwe haiwezi kudeal nao,rangi ya rostam sio ushahidi wa kesi mahakamani.
Mahakamani ndipo mwanahalisi watakapo jitetea na kusema habari zingine tumezipata Jambo forums ndipo Jaji atakapo sema waleteeni jambo forums mahakamani!!
ACHA KUPINDISHA NAMBO KWA KUWA ATA UJUI MAANA YA ABOVE THE LAW.MTU AMBAYE ANAWAZA YUKO ABOVE THE LAW HAWEZI KWENDA MAHAKAMANI NA ANAAMUA KESI YEYE MWENYEWE....KAMA RA UNAFUNGUA HAPA,,,PLEASE DONT EVER GIVE UP,YOU HAVE NOTHING TO LOOSE.He is not serious since he want to show tanzanian that he is above the law. Let him ggo to the court and the whole antion to see how corrupt he is.
kwanza RA alituma watu wake wamtie upofu Saed Kubenea wakafeli, Sasa anataka kumdhalilisha Saed Kubenea swali je ataweza?
Saed Kubenea na MwanaHalisi hawapo pekeyao na wala wasijikunyate kwenye hili. Saed upo nasi kwa dhiki na kwa faraja! Wewe ni mzalendo wa kweli kwani umekuwa ukisema yale ambayo mwandishi mwingine lazima afikirie mara mbilimbili kabla ya kuyasema/kuyaandika.
Saed Kubenea wewe ni mshindi! hii kesi umesha shinda! Na ninajua Mwanahalisi haiwezi kuandika kitu kisichokuwepo! nina uhakika RA ataomba ardhi ipasuke! Najua MwanaHalisi inayo kopi ya ile riport ya awali ya tume ya Richmond. Ile riport italetwa punde hapa JF muisome! na mwanaHalisi ndio wataitumia kwenye ushahidi wao!
MwanaHalisi sio watu wa kukurupuka!Mnaikumbuka ile habari kuhusu mamilioni ya Chenge?Hivi mnadhani bila kuwa na documents MwanaHalisi waneandika ile habari?
Hili ni anguko jingine kwa RA na mafisadi wengine.
"Fisadi mwerefu kujifunza kwa fisadi mpumbavu"
Wengine walio waerevu watajifunza kutoka kwa RA kama wana nia ya kwenda mahakamani.
Ushauri kwa MwanaHalisi.
Fungueni account maalumu ya kuwasaidia kwenye kesi kwa ajili ya kupambanana na Fisadi RA. Sisi Watanzania tupo nyumba yenu tutatoa japo shillingi 100 ili kusaidia juhudi za kuikomboa nchi yetu kutoka watu wachache wanaojinufaisha.

wacheni haki ya mungu iijiidhirishe
ni wakati wa kusali na kuomba....mama mchungaji rwakatare alipotangaza kuna watoto wa kishirikina wengi wal;ipinga na kulaani ananua watoto sasa mungu kajiidhirisha mtoto yuleyule kakutwa ankula fuvu la mtu....hivyo tuwaache hawa mafisadi wanapojaribu kucheza na nguvu za mungu wacheni mungu ajiidhirishe
hata yona alimezwa na samaki kwa manufaa ili akawaokoe watu ...so hata huyu kwenda mahakamani mapenzi ya mung kufukua mengi yaliyojifisha
mungu uinuliwe kwa hili
Hivi sayari hii ya na karne ya 21 kunawatu wanaabudu ushirikina?
Mimi nadhani yule mtoto wasingempelka keko wangeenda kumpima akili yake kwanza! nimemwona kwenye picha anaonyesha hana akili vizuri!
Hii mada hapa sio sehemu yake lakini kumbukeni maneno ya huyu mtoto hapo awali alisema "alidondoka k wenye ungo akiwa na bibi yake na wanaishi lindi"
This time kwenye gaazeti mtoto yule yule anasema "yeye na bibi yake wanakaa segerea makaburini"
Rostam ni fisadi msituletee mambo ya mama lwakatare humu kupunguza hoja! Mshindwe na mlegee.
Mjomba naona unaanza kuvujka mipaka
Hii ni slander je akiamua kuishitaki JF utatoa mchango?
hukatazwi kutoa maoni/mawazo yako lakini kuwa mtaalam kidogo kutumia maneno kama vile allegedly au ukatoa reference
sasa unao ushahidi kuwa Rostam alitoa contract kubenea amwagiwe acid?
come one man
whet ever happened to kuwa smart ku put across points zako kuliko kubark bila kuzingatia wengine
Sokomoko Mama Lwakatare anafanyaje tena ? Hii imenipita
hebu nipe maneno mkuu .Kesha anza mahubiri Bungeni ?
Mimi nadhani Rostam alivyokataliwa kutoa zake bungeni sasa ameamua kutumia njia nyingine ili amwage nje yote aliyonayo.
Mark my word hapo mahakamani itatoka siri nyingi sana na zitaangusha watu wengi sana.
I know Fungamtama asingechukua kesi hii hivi hivi kunafuka moshi jamaa....unless hii kesi hii iishie chamber wakakubaliana
Hamna kesi hapa, MWANAHALISI will reap what they sow. Maybe next time wataona ni bora wangenunua dictionary kwa waandishi wao ili kujua maneno kama vile ALLEGED, ACUSED etc badala ya kuja na cheap headlines za eti fulani ni fisadi bila kuwa na ushahidi wowote wa maana kuthibitisha hilo. Mwanahalisi is the sort of sneering, supercilious, sanctimonious, student-newspaper sort of journalism ambayo sisi wengine hatuwezi kukubaliana nayo. I am not being a snob lakini wana JF know better when they see a rag and interesting newspaper that treats it readers as intelligence human beings instead of kuja humu JF kutuletea intellectual pollution...eti wachangiwe pesa. Why not declare bankruptcy kisha wakalime? Surely Kilimo kinalipa zaidi ya kuandika mambo ambayo hawana ushahidi nayo right?
...badala ya kuja na cheap headlines za eti fulani ni fisadi bila kuwa na ushahidi wowote wa maana kuthibitisha hilo. Mwanahalisi is the sort of sneering, supercilious, sanctimonious, student-newspaper sort of journalism ambayo sisi wengine hatuwezi kukubaliana nayo. I am not being a snob lakini wana JF know better when they see a rag and interesting newspaper that treats it readers as intelligence human beings instead of kuja humu JF kutuletea intellectual pollution...eti wachangiwe pesa. Why not declare bankruptcy kisha wakalime? Surely Kilimo kinalipa zaidi ya kuandika mambo ambayo hawana ushahidi nayo right?