Hamna kesi hapa, MWANAHALISI will reap what they sow. Maybe next time wataona ni bora wangenunua dictionary kwa waandishi wao ili kujua maneno kama vile ALLEGED, ACUSED etc badala ya kuja na cheap headlines za eti fulani ni fisadi bila kuwa na ushahidi wowote wa maana kuthibitisha hilo. Mwanahalisi is the sort of sneering, supercilious, sanctimonious, student-newspaper sort of journalism ambayo sisi wengine hatuwezi kukubaliana nayo. I am not being a snob lakini wana JF know better when they see a rag and interesting newspaper that treats it readers as intelligence human beings instead of kuja humu JF kutuletea intellectual pollution...eti wachangiwe pesa. Why not declare bankruptcy kisha wakalime? Surely Kilimo kinalipa zaidi ya kuandika mambo ambayo hawana ushahidi nayo right?