Rostam Aziz amezuiwa kuuza gesi yake Kenya kwa sababu ya mazingira

Niliwahi shauri Serikali iache kuwachekea Wakenya ila haikujali..

Njia ni rahisi tuu kama hawataki Watu wetu kwenye sector ya Gas na sisi ni kuwazuia kuwekeza kwenye baadhi ya sector zetu..

Leo kuna kikao huko Arusha nitashangaa kama haya mambo hayatajadiliwa vinginevyo hakuna hata maana ya kuwa na hiyo inaitwa Jumuiya ya EAC.
 
Mimi pia niliwahi kuweka andiko, Kenya hawapo tayari kuona wafanyabiashara wa Tanzania wakiwekeza kwao Ila wana visababu vya uongo mwingi. Tunawachekea Sana

Kama tu Rostam Azizi anakwama, jiulize wewe itakuwaje? Kuna watu humu walianza kusema oooh naenda kufanya biashara Kenya, oooh soko limefunguka
 
Jamaa wana roho mbaya sana,ngoja tusubiri rais ajaye.
 
The EAC Head of states should push for harmonious business environment as one of the top agenda to be discussed.

#EAC Heads of State set to convene in Arusha on 21 July 2022 for a High-level Retreat on the EAC Common Market, to take stock of the progress of implementation of the EAC Common Market Protocol and thereafter hold their 22nd Ordinary Summit of EAC Heads of State on 22 July 2022.

https://twitter.com › jumuiya

East African Community

 

Preparations In High Gear For The 22nd EAC Ordinary Summit​

18th July 2022 Godfrey IvudriaComment(0)
East African Community Headquarters, Arusha, 18th July, 2022: Preparations are in high gear for the EAC Heads of State Retreat on the EAC Common Market and the 22nd Ordinary Summit of the EAC Heads of State scheduled for 21st and 22nd July, 2022 respectively at the Arusha International
Conference Centre, in Arusha, Tanzania.
About 300 participants from Partner States, private sector, civil society and development partners are
expected to attend both the High Level Retreat and the 22nd Summit.
During their High Level Retreat on the Common Market, the Heads of State are expected to, among
other things: take stock of the progress of implementation of the EAC Common Market Protocol;
adopt strategic measures to unlock the lags and bottlenecks in establishment of the Common Market;
agree on a roadmap for the full realization of the Common Market, and; identify key areas where
Development Partners can contribute to the attainment of the Common Market.
At their 22nd Ordinary Meeting, the EAC Heads of State will, among other things: consider the Report
of the Council to the Summit; assent to Bills passed by the East African Legislative Assembly;
consider the report of the High-level Summit Retreat on the EAC Common Market, and; appoint
Judges to the East African Court of Justice
Source : Preparations in High Gear for the 22nd EAC Ordinary Summit - East African Business Week
 
Instead of more and more talks on peace and security, the EAC region should also do more on regional trade among members states of the East African Community

FACTS CHECK

It is now been 1 year since the Secretary General, Hon. (Dr.) Peter Mathuki, took the helm at the East African Community Secretariat.


Source : East African community
 
The EAC should move from talk the talk to walk the walk

Source: East African Community
 
hakuna tatizo tuna mtaalamu wa diplomasia na mwanauchumi bora wataongea yataisha mana kuna mmoja aliifunga nchi akaifanya kama kisiwa kwakua yeye alikua ha-----zo
 
nani kakwambia unaweza kufanya urafiki na Kenyans ukawa salama.

huu uungwana wetu unatuponza sana ni vile hatujui tu, kenyans hawataki kuishi nao kiungwana kabisa, wakija kwenu lazima muwakazie, sisi tunachekacheka nao tu hapa na kuwaona wenzetu kumbe ni masnitch balaa.
 
Watanzania pia na nyinyi muache kutumia kuni na makaa, upgrade kwa gesi, wacha wanabiashara wapiganie fursa, Kenya kuna soko kubwa la gesi kushinda Tanzania mara tatu na zaidi..,
Only 7% ya watanzania wanatumia LPG., vs 23.9% ya Kenya..,

 
Ni kitu Cha kijinga sana. Wanasahau wa_Kenya wenyewe ndio watafaidika kwa kupata ajira na malipo mengine ya kikodi Bila kusahau unafiki kwenye Bei.
 
Ni kweli unaamini waTz wanapenda kutumia kuni na sio sababu za kiuchumi kushindwa kutumia gesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…