waltham
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,522
- 1,045
Hapa kenya wamejaa omba omba toka Tanzania. Wanapiga mhela mjini Na vijijini.Arusha wamejaa wamenunua hadi viwanja wamejenga, Wako kwenye Mahoteli, kwenye mambo ya IT huko wamejaaa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kenya wamejaa omba omba toka Tanzania. Wanapiga mhela mjini Na vijijini.Arusha wamejaa wamenunua hadi viwanja wamejenga, Wako kwenye Mahoteli, kwenye mambo ya IT huko wamejaaa sana.
Kondoo Na 1.Twende nao kidiplomasia msiwavuruge kama bwana yule nchi itatengwa. Sasa hivi nchi imefunguka.
Rostam ni msukuma wa igunga kweli. Sukuma gang.Sukuma gang wanakomeshwa.
Mama amefungulia UCHUMI kwa majirani zetu wenye mapenzi mema kutoka Kenya.
Huna akili ndio maana hujang'amua sarcasm mpuuzi mkubwa. Jifunze kusoma katikati ya mistari nyumbu we!Kondoo Na 1.
Yaani watz kama ni takataka SanaTwende nao kidiplomasia msiwavuruge kama bwana yule nchi itatengwa. Sasa hivi nchi imefunguka.