Rostam Aziz amezuiwa kuuza gesi yake Kenya kwa sababu ya mazingira

Rostam Aziz amezuiwa kuuza gesi yake Kenya kwa sababu ya mazingira

Ni kweli unaamini waTz wanapenda kutumia kuni na sio sababu za kiuchumi kushindwa kutumia gesi?
Yaani ahsante ndugu yangu ,tukubaliane kabisa, kuwa mwisho wa siku hakuna mtu anayependa kutumia kuni, na kupigwa moshi, bali ila uwezo wa watz wengi uko chini kumudu kununua gesi , labda serikali isaidie kupunguza tozo kubwa kwenye gesi ili iwe at least affordable.....
Ni kweli unaamini waTz wanapenda kutumia kuni na sio sababu za kiuchumi kushindwa kutumia gesi?

Ni kweli unaamini waTz wanapenda kutumia kuni na sio sababu za kiuchumi kushindwa kutumia gesi?
 
hivi unajua kwamba LPG haitozwi hizo kodi na hasa VAT ?

Kilichopo ni kwamba Mohammed Jaffer ameiteka biashara ya gesi Kenya na hataki

kabisa kunyang'anywa kama hamjui. Upatikanaji wa LPG Kenya ni shida lakini cartel ya

huyu jamaa ndio imeshika hiyo biashara. Wanaogopa Taifa Gas atawashinda maana

ameshatenga bilioni 270 kuwekeza hapo
Mkuu Mzee Wa Republican, ili Watanzania tufanikiwe mambo yetu, we have to learn to listen to reasons, sababu ya RA kuzuiwa Kenya ni kwa issues za kimazingira na sio issues za kibiashara. Wakenya wengi zaidi wanatumia gesi ya kupikia kuliko sisi, hivyo gesi yetu nyingi zaidi inavuka mpaka kwenda Kenya. RA akaona hiyo fursa akaamua badala ya kuleta gesi Tanzania na kisha kuivusha kwenda Kenya, sasa atashushia Mombasa kwanza kwa kujenga a 30 billion litters storage facility, ya kuhifadhia hiyo gesi, kisha ajenge kiwanda Kenya ili sasa supply ya Kenya iwe ni huko huko badala ya kuvusha mpakani.

Demand ya gesi Kenya ni kubwa kuliko demand ya Tanzania, hivyo Kenya hawawezi kuzuia upatikanaji wa gesi ya kutosha kwa figisu tuu za kibiashara, they must have some good reasons kuzuia.
We have to learn to listen to reasons na sio kila siku tulalamike by baby cry.

P.
 
Tanzania exporters protest Kenya’s gas ban​

SATURDAY JULY 22 2017​

msa port

Mombasa port. The cost of gas at the port of Mombasa is said to be higher than that in Dar es Salaam. FILE PHOTO | NMG

Summary

  • Tanzania LPG Association said that the ban has benefited select companies in Kenya.
  • Tanzanian LPG companies export about 40 per cent of their annual volumes to Kenya. Dar imports 100,000 tonnes of LPG from the Middle East.
  • Last week, Kenya said that it would be purchasing two gas testing facilities, to be installed at the border Custom points of Namanga and Voi, before the end of the year, in a bid to unlock the trade stalemate with Dar.
ADVERTISEMENT

olingo

By ALLAN OLINGO
More by this Author

Tanzanian gas exporters have termed Kenya’s ban on imports as protectionism, as its oil marketing firms lose their share of the market.

They say the move is against fair competition practice as set by the EAC Common Market rules.

However, the exporters may have to wait till the end of the year for a possible resumption of business after Kenya indicated that it will take up to six months to install a gas-testing facility at its border points.

READ: Kenya moves to ease trade dispute with Dar

The Tanzania LPG Association said that the ban has benefited select companies in Kenya.

“We don’t see any plausible reason for the ban on LPG trade between Kenya and Tanzania, save for undue influence by a few oil firms in Kenya keen to monopolise the LPG business in Kenya,” the association said in a statement.

ADVERTISEMENT

“This decision is already having a major impact on Tanzanian LPG companies since these companies trade a large part of their volumes with their Kenyan counterparts. This ban will affect Kenyans as it will allow select firms to operate in a monopolistic set-up.”

The traders say they can readily supply the Kenyan market.

“The LPG cost in Mombasa is much higher than in Dar es Salaam. Monopoly and protectionism have pushed prices up in Mombasa. The main reason why LPG from Dar es Salaam or Tanga is cheaper is because the offloading and storage infrastructure at these two ports is more efficient. Firms in Kenya have higher storage unit costs due to facilities like floating storage, which need fuel to run, and higher maintenance cost compared with fixed storage facilities.

“Firms without floating storage incur demurrage charges due to delays in offloading of product at Mombasa port, unlike Dar es Salaam where occupancy is relatively low and Tanga port where there are no demurrage charges. This means that the gas coming from Dar es Salaam and Tanga is likely to be cheaper than that from Mombasa,” said the statement.

Tanzanian LPG companies export about 40 per cent of their annual volumes to Kenya. Dar imports 100,000 tonnes of LPG from the Middle East.

Data from the Petroleum Institute of East Africa shows that in March, when the ban was imposed, Lake Gas, owned by Tanzanian billionaire Ally Etha Awadh who recently acquired Kenya’s Hashi Petroleum, was Kenya’s biggest importer of gas, controlling 23.5 per cent of the LPG market. The firm became a big player in the LPG market last September.

READ: TZ tycoon single biggest loser in Dar-Nairobi gas spat

Huge loss

But now, after the ban, the company is facing huge losses given that it trucks its products to the region from its Tanga terminal, which opened in July 2015.

The Tanga terminal can store up to 1,000 tonnes of LPG. Gas is re-exported from there to other markets like Kenya, Zambia, the DRC, Rwanda, Uganda and Burundi.

Hashi Energy has seen its market share drop from 22.2 per cent in September last year to 16.4 per cent in December, then further to 8 per cent in March. Lake Gas has been selling its branded gas locally, but this is mostly supplied through independent re-fillers.

The Tanzanian exporters have also taken issue with Kenya’s claims of adulteration, arguing that such issues should be dealt with on a case-by-case basis.

“We doubt if the issue of illegal refilling will be solved through a blanket ban on road importation of gas from Tanzania, as illegal refillers can still use LPG from Mombasa port. LPG imported into Kenya through Mombasa is distributed within Kenya and also exported to other East African member states by road. If illegal refilling is fuelled by product movement by road, then the concern above cannot be attributed to product coming from Tanzania alone,” the traders said.

Last week, Kenya said that it would be purchasing two gas testing facilities, to be installed at the border Custom points of Namanga and Voi, before the end of the year, in a bid to unlock the trade stalemate with Dar.

ALSO READ: Magufuli, Uhuru step in to end escalating trade war

Energy Regulatory Authority acting director-general Pavel Oimeke said the country only has one functional machine at the Kenya Petroleum Refineries Ltd.

“The purchase of the additional two machines will ensure that all LPG entering the country through road border points is sampled and tested. The cost of the equipment will be $800,000,” Mr Oimeke said.

KUMBUKA HIYO NI MWAKA 2017........
 
Pamoja na kuwa wakili unaona ni sawa kutetea hoja dhaifu ya just na unga wa ngano Pascal..Rostam amezuiwa kuendelea kuwekeza plant ya gas, shida nini? achana na mambo ya juisi Pascal..
Mkuu, mimi kama wakili, natetea haki!. Tanzania tulikuwa tunajitosheleza kwa ngano na sayiri kupitia mashamba makubwa ya Malbadawi kule Arusha. Tumeyaua sasa tunaagiza ngano na kuisaga tuu!. Kwanini nisitetee hili?.

Tanzania tuna matunda kibao yanaozea shambani kwa kukosa masoko, huku kuna watu wana import pulp na kutengeneza juice kuziita product of Tanzania!. Kwanini nisitetee?.

Hili la gesi pia nimechangia Rostam Aziz amezuiwa kuuza gesi yake Kenya kwa sababu ya mazingira

P
 
Kenya Magu ndo alikuwa Kiboko yao walikubali show[emoji1787][emoji1787] Huyu mama watamchekea alafu nyuma ya mgongo wanamfanyia figisuu nae hastukiii...!!! Hizi nchi ukijifanya wew ni mwema wakati wenzio wanakufanyia ubaya Hufikii aisee..
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hawa Wakenya kwa figisu ni hatari hawataki kabisa wafanyabiashara wa Kitanzania wafanye biashara kwao lazima waweke vikwazo lukuki mpka ukate tamaa kisa wanalinda vya kwao lakini wao wakija Tanzania wanataka wafanye bila shida ujirani gani huu wa mashaka.
Mnaona sasa. Ile mikataba mama yetu aloshihudia utiaji saini imetusaidia nini? JPM alifanya sawa kabisa kuwadhibiti. Ukizuia magari yetu yasiende JKIA nasi tunazuia ndege zako zisitue. Ukizuia malori mpakani kwa kisingizio cha corona, tunachoma vifaranga. Ndivyo wanavyotakiwa kudeal nao hawa. Ukianza kuwachekea eti tunafungua nchi, wanakuumiza. Urafiki wao ni wa kinafiki.
 
Hayo mascreen short usiwe unaweka tafadhali, hayana msaada wowote..biashara zenye maslahi ya muda mrefu zinajengwa kwenye misingi ya kuheshimiana..sio ujinga huu ulioandika.
Wewe ndio mjinga usiyeona thamani ya biashara ya Tzn na Kenya yenye faida zaidi kwa Tzn Sasa unataka iwe compromised kwa faida ya mtu mmja huyo Rostam..

Kenya hawawezi kulazimishwa kwenye biashara ya gas kama wanaona itapoteza soko kwa watu wao,sio gas tuu hata ATCL walizuia kwenda Nairobi kwa sababu wanaona itachukua soko la shirika lao..

So wako sahihi na Tanzania inafanya hivyo hivyo kwenye ardhi nk
 
Una uhakika na hili ? Yaani Mohammed Jaffer aachie soko lake kirahisi hivyo ?

Ni sawa na kuitaka kampuni ya TotalEnergies iachie soko lake kirahisi hapa Tanzania
Nyinyi si mnazungumzia masuala ya soko huria na kufungua nchi! Wenzenu hawafungui nchi kirahisi rahisi
 
Mkuu, mimi kama wakili, natetea haki!. Tanzania tulikuwa tunajitosheleza kwa ngano na sayiri kupitia mashamba makubwa ya Malbadawi kule Arusha. Tumeyaua sasa tunaagiza ngano na kuisaga tuu!. Kwanini nisitetee hili?.

Tanzania tuna matunda kibao yanaozea shambani kwa kukosa masoko, huku kuna watu wana import pulp na kutengeneza juice kuziita product of Tanzania!. Kwanini nisitetee?.

Hili la gesi pia nimechangia Rostam Aziz amezuiwa kuuza gesi yake Kenya kwa sababu ya mazingira

P
Magufuli alijaribu kufanya yote haya akatukanwa matusi yote unayoyajua, (rejea sakata la sukari)

Mimi huwa nasema kila siku tuko hapa tulipo sababu ya upumbavu wa watz!

Ukiwa kiongozi kwa nchi kama tz, piga hela ondoka. Kwamba umeleta impacts gani kwenye nafasi yako hiyo haikuhusu.

Kujaribu kuwazindua na kuwapigania wapumbavu kama alivyojaribu Magu, malipo yake ni upumbavu.
 
Wewe ndio mjinga usiyeona thamani ya biashara ya Tzn na Kenya yenye faida zaidi kwa Tzn Sasa unataka iwe compromised kwa faida ya mtu mmja huyo Rostam..

Kenya hawawezi kulazimishwa kwenye biashara ya gas kama wanaona itapoteza soko kwa watu wao,sio gas tuu hata ATCL walizuia kwenda Nairobi kwa sababu wanaona itachukua soko la shirika lao..

So wako sahihi na Tanzania inafanya hivyo hivyo kwenye ardhi nk
Wao KQ inapokuja Tz, ATCL sio soko lao? biashara ni ushindani hakuna habari ya sijui hili ni soko lao..kanuni za biashara za kimataifa huwezi sema hili ni soko letu wakati wewe unapeleka bidhaa kwa wenzio, na wao wakisema hili ni soko letu nchi gani itapeleka bidhaa kwa nchi nyingine? fikiri kwanza kabla ya kusema..ujirani wenye mahusiano mazuri unajengwa kwa kuheshimiana..na Rais Magufuli alitaka Kenya wafahamu hilo kwanza hakuna habari ya kufungua nchi wakati unadharauliwa na kubezwa kwa namna wanavyofanya Kenya halafu bado unaona ni sawa kwa vile tunataka kuwauzia mahindi, huo ni ujinga na hakuna lolote la faida hapo.
 
Mkuu Mzee Wa Republican, ili Watanzania tufanikiwe mambo yetu, we have to learn to listen to reasons, sababu ya RA kuzuiwa Kenya ni kwa issues za kimazingira na sio issues za kibiashara. Wakenya wengi zaidi wanatumia gesi ya kupikia kuliko sisi, hivyo gesi yetu nyingi zaidi inavuka mpaka kwenda Kenya. RA akaona hiyo fursa akaamua badala ya kuleta gesi Tanzania na kisha kuivusha kwenda Kenya, sasa atashushia Mombasa kwanza kwa kujenga a 30 billion litters storage facility, ya kuhifadhia hiyo gesi, kisha ajenge kiwanda Kenya ili sasa supply ya Kenya iwe ni huko huko badala ya kuvusha mpakani.

Demand ya gesi Kenya ni kubwa kuliko demand ya Tanzania, hivyo Kenya hawawezi kuzuia upatikanaji wa gesi ya kutosha kwa figisu tuu za kibiashara, they must have some good reasons kuzuia.
We have to learn to listen to reasons na sio kila siku tulalamike by baby cry.

P.
Pascal jaribu kuona zaidi ya wanachosema..kuna sababu zaidi ya mazingira, Rostam alishasema mapema juu ya vikwazo anavyokabiliana navyo kwa mamlaka za Kenya kuzuia uwekezaji anaotaka kufanya..na si kwa Rostam tu, wanafanya hivyo hivyo hata kwa wawekezaji wengine kutoka Tanzania..inahitaji ujasiri na ushupavu unapodeal na watu aina ya Kenya siyo mambo ya kiswahili ukadhani ni rahisi hivyo..Magufuli was right.
 
Mnaona sasa. Ile mikataba mama yetu aloshihudia utiaji saini imetusaidia nini? JPM alifanya sawa kabisa kuwadhibiti. Ukizuia magari yetu yasiende JKIA nasi tunazuia ndege zako zisitue. Ukizuia malori mpakani kwa kisingizio cha corona, tunachoma vifaranga. Ndivyo wanavyotakiwa kudeal nao hawa. Ukianza kuwachekea eti tunafungua nchi, wanakuumiza. Urafiki wao ni wa kinafiki.
Hakika lazima kuwa na kiongozi/viongozi waliotayari kujibu mapigo kwa uzito ule ule kwa figisu wanazotufanyia haina cha kubembelezana siku zote wamekuwa wakiweka ngumu kwa biashara za Tanzania kwenda kwao kuanzia kwenye utalii, sekta ya kibenki/fedha, wafanyabiashara wetu kufungua biashara kwao hivyo hatuna budi kutokucheka nao kwa minajili eti ya kufungua nchi utakuwa ni wendawazimu.
 
Wewe ndio mjinga usiyeona thamani ya biashara ya Tzn na Kenya yenye faida zaidi kwa Tzn Sasa unataka iwe compromised kwa faida ya mtu mmja huyo Rostam..

Kenya hawawezi kulazimishwa kwenye biashara ya gas kama wanaona itapoteza soko kwa watu wao,sio gas tuu hata ATCL walizuia kwenda Nairobi kwa sababu wanaona itachukua soko la shirika lao..

So wako sahihi na Tanzania inafanya hivyo hivyo kwenye ardhi nk
Kama ndivyo hivyo kuna umuhimu gani wa kuwa na jumuiya ya Afrika Mashariki maana moja ya malengo kati ya mengi ni kuondoa vikwazo kwenye ufanyaji wa biashara masuala ya kuzuia shirika letu lisiende kwao ni uhayawani tu usitakiwa kwenye biashara mbona KQ zinatua hapa kwetu nasi tungeweza kuzipiga marufuku maana tunazo zetu. Tuache kucheka nao kinafiki wakiweka mguu sie tuweke kigingi kabsa ngadu kwa ngadu.
 
Back
Top Bottom