Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijasema kuhusu kuwajua Wakenya, nimeishi Kenya na kama kawaida yetu sisi Kanda ya Ziwa, kule pia ni kwangu!.Wewe huwajui hawa jamaaa, Kuna hadi Kampuni za simu zinalia, Jamaa wan Cartel kari sana lipo kuja swala la masilahi yao, wale wanaweza changishana hata Billion of shillings ba kwenda kuwahonga watendaji wa Serikali,
Wakenya kwenye swala la Ushindani wako tiyari wakuue kabisa
Sasa unalialia nini?Alikuwa mshamba na mkurupukaji..
Mimi napenda retaliation lakini kwa kutumia akili sio complete ban,kwa mfano Serikali iliongeza kibali cha kuvusha mahindi karibu mara mbili ya thamani ya awali na kinatokewa na Wizara Dodoma pekee na ikapelekea Bei zao huko kuwa juu mara dufu..
So hata hili wala haihitaji kukurupuka kwa sababu in fact biashara ya Kenya na Tanzania kwa sasa inaegemea upande wetu kuliko kwao so ni afadhari ku deal nao kwa akili Ili tusiumize uchumi kuliko kukurupuka eti Kwa Maslahi ya mtu mmja bw.Rostam.[emoji116]
Umesoma au umekurupuka?Sasa unalialia nini?
Tumezidi kwa ukondoo kondoo wetu - Serikali yetu hisipo kuwa tough na viumbe hawa,basi tukae tukijuwa kwamba siku za usoni Wakenya watakuja kutunyea vichwani nawambieni.Arusha wamejaa wamenunua hadi viwanja wamejenga, Wako kwenye Mahoteli, kwenye mambo ya IT huko wamejaaa sana.
📌📌📌🔨🔨🔨Japo its true Wakenya kwenye figisu wako vizuri, lakini vitu vingine kwenye hizi biashara za kimataifa tatizo ni sisi.
Kuna kitu kinaitwa rules of origin, baadhi ya bidhaa zina zero tariff, lakini lazima ziwe na certificate of orgin kuonyesha ni 100% Tanzanian, unga wa ngano wa tajiri wetu, ngano yake yote ni 100% imported, yeye ana saga tuu na ku pack, huku imeandikwa product of Tanzania. Wenzetu wana kitu wanafanya kinaitwa economic intelligence, wamebaini ngano ni impoterted, zile juice, pulp ni imported!, hawawezi kukubali bidhaa kama hizo ziingie kwa zero tariff!. Hiyo mnayosikia zimezuiliwa, sio kweli kuwa zimekataliwa, bali zimetozwa tozo ya juu kama imported products kutokana na rules of orgin ya malighafi.
Lets be honest and stop baby cry!.
P
Wewe ni mjinga na wenzako wote mnajifanya hamjui tatizo..tatizo si wakenya, wao wako hivyo siku zote..si alikuwepo kiongozi alijua kudeal nao wakenya kwa tabia hii halafu alipoondoka mkarefusha midomo Acha nchi ifunguliwe, sasa unalalama hapa kitu gani? Na bado hadi muwe watumwa kwenye nchi yenu wenyewe akili zitawasogea.Watanzania sisi ni kondooo sana, tuna kiwango cha mwisho cha ukondoo
Ukimaliza hiyo ndoto kunywa maji ulale..Kazi kuu ya serikali kupitia usalama wa taifa na taasisi nyingine ni kuhakikisha usalama na ustawi wa mwananchi mmoja mmoja na taifa kwa ujumla kiuchumi.
Hii ni pamoja na kuwawezesha kupambana kwa kutoa mbinu za kuyadhibiti mataifa mengine na watu wao kimya kimya kuanzia ndani ya nchi hadi huko kwao.
Hali hii hujengwa kwenye fikra za viongozi, watendaji na hata wananchi (huu ndiyo unaoitwa uzalendo wa kweli).
Hata hivyo, kuna tatizo kubwa la kuona uzalendo ni kudhibiti wananchi matajiri, wapinzani na maneno ya kisiasa yanayoambatana na haya.
Ni muhimu kuungana kuanzia mwananchi mmoja mmoja, sekta binafsi na serikali katika mapambano ya kiuchumi, kila mmoja kwenye nafasi yake.
Hiki ndicho wanachofanya majirani na nchi zote zenye maendeleo.
Waambie ndugu zako wanavyofanyiwa hivyo wao wafanye nini? waendelee kufungua nchi?Japo its true Wakenya kwenye figisu wako vizuri, lakini vitu vingine kwenye hizi biashara za kimataifa tatizo ni sisi.
Kuna kitu kinaitwa rules of origin, baadhi ya bidhaa zina zero tariff, lakini lazima ziwe na certificate of orgin kuonyesha ni 100% Tanzanian, unga wa ngano wa tajiri wetu, ngano yake yote ni 100% imported, yeye ana saga tuu na ku pack, huku imeandikwa product of Tanzania. Wenzetu wana kitu wanafanya kinaitwa economic intelligence, wamebaini ngano ni impoterted, zile juice, pulp ni imported!, hawawezi kukubali bidhaa kama hizo ziingie kwa zero tariff!. Hiyo mnayosikia zimezuiliwa, sio kweli kuwa zimekataliwa, bali zimetozwa tozo ya juu kama imported products kutokana na rules of orgin ya malighafi.
Lets be honest and stop baby cry!.
P
Pamoja na kuwa wakili unaona ni sawa kutetea hoja dhaifu ya just na unga wa ngano Pascal..Rostam amezuiwa kuendelea kuwekeza plant ya gas, shida nini? achana na mambo ya juisi Pascal..Mimi sijasema kuhusu kuwajua Wakenya, nimeishi Kenya na kama kawaida yetu sisi Kanda ya Ziwa, kule pia ni kwangu!.
Biashara ni kama michezo mingine yote, inatawaliwa na the rules of the game, hizo rules zinaweka tariffs mbalimbali kwa locally produced goods produced from local raw materials as well as different tarrifs kwa locally produced products, produced by imported raw materials. Japo Tanzania tuna matunda ya kutosha kuzalisha juices, economic intelligence imebaini tunaagiza pulp na kumix kidogo na juices zetu, halafu tuna lebel kuwa ni products of Tanzania, ukiona zinagomewa kuingia Kenya, ujue tumeshtukiwa.
P
Mbona hizo plant zilizopo hazijaleta madhara ya kimazingira ?The Energy regulator has declined to clear the application by Taifa Gas, which is owned by tycoon Rostam Aziz, citing risks to the environment posed by the 30,000-ton gas handling facility.
Hayo mascreen short usiwe unaweka tafadhali, hayana msaada wowote..biashara zenye maslahi ya muda mrefu zinajengwa kwenye misingi ya kuheshimiana..sio ujinga huu ulioandika.Alikuwa mshamba na mkurupukaji..
Mimi napenda retaliation lakini kwa kutumia akili sio complete ban,kwa mfano Serikali iliongeza kibali cha kuvusha mahindi karibu mara mbili ya thamani ya awali na kinatokewa na Wizara Dodoma pekee na ikapelekea Bei zao huko kuwa juu mara dufu..
So hata hili wala haihitaji kukurupuka kwa sababu in fact biashara ya Kenya na Tanzania kwa sasa inaegemea upande wetu kuliko kwao so ni afadhari ku deal nao kwa akili Ili tusiumize uchumi kuliko kukurupuka eti Kwa Maslahi ya mtu mmja bw.Rostam.👇
halafu utakuta viongozi wetu wanawachekea tu.Niliwahi shauri Serikali iache kuwachekea Wakenya ila haikujali..
Njia ni rahisi tuu kama hawataki Watu wetu kwenye sector ya Gas na sisi ni kuwazuia kuwekeza kwenye baadhi ya sector zetu..
Leo kuna kikao huko Arusha nitashangaa kama haya mambo hayatajadiliwa vinginevyo hakuna hata maana ya kuwa na hiyo inaitwa Jumuiya ya EAC.
we have to. Tunahitaji pia ku-export brand zetu kama wao walivyofanya kwa equity, kcb bank, white wash, jamaa soap na kadhalika. Tuachane na fallacy ya kufanya biashara Tanzania pekeeSoko lenyewe bado lina potential kubwa 75% ya wananchi bado awajafikiwa. Sasa hapo competition si ndio inaleta faida zaidi. Kuna hatua zingine za ovyo za majirani zetu we don’t have to reciprocate ni kuwaacha na ujinga wao.
Hahahaaaa . . . . Nimecheka yaaniMagufuli hakuwahi kuwachekea mkamwita mshamba!
hivi unajua kwamba LPG haitozwi hizo kodi na hasa VAT ?Hiyo mnayosikia zimezuiliwa, sio kweli kuwa zimekataliwa, bali zimetozwa tozo ya juu kama imported products kutokana na rules of orgin ya malighafi.
Lets be honest and stop baby cry!.
P
Ahsante ndugu, kutumia gesi inategemea purchasing power/ affordability ya kuitumia ikoje, na wala sio sio siasa tu, za kugawa mitungi ya bure ....hakuna mtu apendaye kupikia na kupigwa moshi wa kuni au mkaa......huyo Taifa Gas si ashushe bei kidogo hapo Tz, aone gesi yake itakavyogombewa..... tatizo biashara za uwekezaji kimataifa kwenye nchi za wenzetu inabidi strictly, ufuate rules of the game / compliance requirements na wala usiende na ' mentality' za ' mnanijua mimi? za sie wawekezaji wa bongo ......Actually huo ndio muono wangu hata Mimi tofauti na Mdau niliyem_quote anayeona Kama vile waTz hawataki kutumia gesi.