waltham JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 2,522 Reaction score 1,045 Jul 27, 2022 #121 BLACK MOVEMENT said: Arusha wamejaa wamenunua hadi viwanja wamejenga, Wako kwenye Mahoteli, kwenye mambo ya IT huko wamejaaa sana. Click to expand... Hapa kenya wamejaa omba omba toka Tanzania. Wanapiga mhela mjini Na vijijini.
BLACK MOVEMENT said: Arusha wamejaa wamenunua hadi viwanja wamejenga, Wako kwenye Mahoteli, kwenye mambo ya IT huko wamejaaa sana. Click to expand... Hapa kenya wamejaa omba omba toka Tanzania. Wanapiga mhela mjini Na vijijini.
Omulasil JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 8,015 Reaction score 10,269 Jul 27, 2022 #122 RRONDO said: Twende nao kidiplomasia msiwavuruge kama bwana yule nchi itatengwa. Sasa hivi nchi imefunguka. Click to expand... Kondoo Na 1.
RRONDO said: Twende nao kidiplomasia msiwavuruge kama bwana yule nchi itatengwa. Sasa hivi nchi imefunguka. Click to expand... Kondoo Na 1.
Omulasil JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 8,015 Reaction score 10,269 Jul 27, 2022 #123 Dokta Uchwara said: Sukuma gang wanakomeshwa. Mama amefungulia UCHUMI kwa majirani zetu wenye mapenzi mema kutoka Kenya. Click to expand... Rostam ni msukuma wa igunga kweli. Sukuma gang. Ila jihesabu akili huna
Dokta Uchwara said: Sukuma gang wanakomeshwa. Mama amefungulia UCHUMI kwa majirani zetu wenye mapenzi mema kutoka Kenya. Click to expand... Rostam ni msukuma wa igunga kweli. Sukuma gang. Ila jihesabu akili huna
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Jul 27, 2022 #124 Omulasil said: Kondoo Na 1. Click to expand... Huna akili ndio maana hujang'amua sarcasm mpuuzi mkubwa. Jifunze kusoma katikati ya mistari nyumbu we!
Omulasil said: Kondoo Na 1. Click to expand... Huna akili ndio maana hujang'amua sarcasm mpuuzi mkubwa. Jifunze kusoma katikati ya mistari nyumbu we!
Bugucha JF-Expert Member Joined Jan 3, 2020 Posts 3,374 Reaction score 13,922 Jul 29, 2022 #125 RRONDO said: Twende nao kidiplomasia msiwavuruge kama bwana yule nchi itatengwa. Sasa hivi nchi imefunguka. Click to expand... Yaani watz kama ni takataka Sana
RRONDO said: Twende nao kidiplomasia msiwavuruge kama bwana yule nchi itatengwa. Sasa hivi nchi imefunguka. Click to expand... Yaani watz kama ni takataka Sana