Rostam Aziz amkabidhi Spika Ndugai mashine ya kuwapulizia wabunge dawa ya kuua virus ili kudhibiti Corona

wameambiwa wasaambane - hiyo bajeti ya nani wakati wananchi wanaweza kupotea wote tukicheza.
 
okey basi mwili wa mama Rwakatare uje bungeni na tusiwe na shaka wabunge watapita kwenye hiyo mashine.
 
Cc Nape Nnauye
 


Angewapelekea pia mashine ya kuondoa uchawi mwilini mwao.
 
Hao angewaacha tu anapeleka bungeni kufanya nini. Hao jamaa hawna faida yoyote zaidi ya kuchota tu posho basi....
MALAFI SANA HAYA MAJITU.
Yanaacha kumlazimisha rais aende bungeni alete mikakati dhidi ya corona yenyewe imekaa kusifia ujinga tu hasa miccm inanikera sana
 
HUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Watanzania wakati wote mnafikiria madaraka na vyeo.

Hakuna cheo kikubwa zaidi ya kuwasaidia wanadamu wenzako wanapohitaji msaada.

Leo katika hali tuliyo nayo, Rostam ana cheo kikubwa mbele ya Watanzania kumzidi speaker, kumzidi Waziri au mbunge. Rostam anaokoa watu ambao hatujui idadi yao na hatutakuja tutambue.
 
Tanzania kweli vilaza wengi, mbunge kapatikana na corona ilitakiwa wabunge wengine wote wakae quarantine, waache ushenzi. Kupuliziwa haizuii wewe kuwaambukiza wengine, hivi wamesahau corona inaaabukizwa vipi? Ni kitendo cha kukaa karibu na mgonjwa akakohoa au akaongea kwa sauti kidogo tu umekwisha. Hiyo dawa inazuia mtu kuongea? Hahaha hili li nchi ovyo kabisa
 
Hizi procedure za kubaliana na corona zinatengeneza fake expectations.
Kama mtu anakorona, anawe mikono, atumie sanitiza au apite kwenye hizo mashine ataendelea kubaki na corona.

ataipumua hii corana hewani na ataambukiza watu.

suruhisho la corona la kwanza ni kupima watu as frequently as possible na kuwa quarantine wale wanakutwa + pamoja na recent contacts zao, la pili ni kukeep distance.

Yaani mpaka sasa, kulipaswa kuwa na misusuru ya watu wanagombania kupimwa every three days +/-
 
Hivi Serikali Yale mabilioni wanakusanya ni kwa ajili gani kama hata mask watumishi katika Vituo vya Afya wanajinunulia?
 
Hapa Tanzanian drugs authority wamehusishwa?
Rostam sijawahi kukuamini, nitakupinga hadi Mwisho! Nasikia kuna Nyumba imewaka Moto Temeke na vifaa kuteketea is that your plan ? Motive! Mission!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…