Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc Nape NnauyeMfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge mh Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.
Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Wewe ni mwanafamilia?!okey basi mwili wa mama Rwakatare uje bungeni na tusiwe na shaka wabunge watapita kwenye hiyo mashine.
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge mh Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.
Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
ndiyo nina mahusino na house girl wa mama Rwakatare.Wewe ni mwanafamilia?!
... swali zuri sana kwa walioitunga bila kufikiria kwa mapana yake. Nachojua saa hizi Bunge linaendelea na vikao sioni kwanini wasifanye hivyo.Hiyo kanuni wangetengua saa ngapi?
Wewe na huyo beki 3 hamna sifa za kushiriki mazishi!ndiyo nina mahusino na house girl wa mama Rwakatare.
Watanzania wakati wote mnafikiria madaraka na vyeo.HUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Labda wameshachelewa!... swali zuri sana kwa walioitunga bila kufikiria kwa mapana yake. Nachojua saa hizi Bunge linaendelea na vikao sioni kwanini wasifanye hivyo.
wacha ubaguzi wewe wakati mimi nilikua nashinda hapo home Mama Rwakatare akiwa kwenye vikao Dodoma.Wewe na huyo beki 3 hamna sifa za kushiriki mazishi!
Labda wanachanganya na Mosquito spray. Narudia tena,LABDA.Hivi ni Nchi gani nyingine inatumia njia hii kudhibiti Corona ?
Endelea kushinda hapo nyumbani lakini makaburini huendi!wacha ubaguzi wewe wakati mimi nilikua nashinda hapo home Mama Rwakatare akiwa kwenye vikao Dodoma.
Hivi Serikali Yale mabilioni wanakusanya ni kwa ajili gani kama hata mask watumishi katika Vituo vya Afya wanajinunulia?Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge mh Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.
Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hapa Tanzanian drugs authority wamehusishwa?Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge mh Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.
Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Maendeleo hayana vyama!