kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Pole umekubali kuwa ni mwizi,umekubali kupokea najisi,umekubali kuwa magufuli ni mnafiki wa kupambana na mafisadi,umekubali kuuuza Utu wako kwake yaani fedha umeiweka mbele kuliko maslahi ya watanzania.Alivyotoa vinasafisha hata wabunge wako.
Jana niliwaambia watumishi kama wanajiona wao wana miili iliyopikwa kwa mlima wa moto basi wakakusanyike wamuage.
Mh... !Kwa jinsi awamu hii ilivyoingia na mikwara mbuzi kwamba inapambana na mafisadi, sikutarajia huyo Rostam kama leo ndio angekuwa anacheza na taasisi za serikali kwa karibu. Wale waliokuwa wanasema Magufuli anapambana na mafisadi tuliwaambiwa kuwa hapambani na mafisadi, bali anapambana na matumizi ya neno fisadi. Leo imedhihirika kambale msafi hataki bwawa chafu.
Utaratibu wa kupeleka bungeni mwili wa mbunge aliyekupa ulianza lini? Ndesa alipelekwa?
Acha ubaguzi wa rangi tunacho hitaji ni uongozi bora na siyo rangi wala kabila LA mtu.HUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Pole umekubali kuwa ni mwizi,umekubali kupokea najisi,umekubali kuwa magufuli ni mnafiki wa kupambana na mafisadi,umekubali kuuuza Utu wako kwake yaani fedha umeiweka mbele kuliko maslahi ya watanzania.
Mambo mengi aiseeee !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11Huyu si ndio alisema bunge lisiendelee sasa mbona anataka hadi misiba iletwe bungeni?
Wangesema analetwa bungeni pia angekosoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
wanasema Mbwa ukimjua jina wala hakung'ati , Rostam anawajulia hawa jamaaHata mimi najiuliza, ukimpuliza mtu na bado ameambukizwa sio akikohoa wadudu sio wapo palepale mdomoni ataeneza tu?
Mbona tayari alishakuwa rais? Tulia, Rostam hana mpango wa kukalia kiti mwenyewe, yeye ni KING MAKER. Yeye huandaa rais, na kisha anakusanya malipo yake kwa faida kubwa. Kipindi cha JK uliuona mziki wake, kabla hajaachana na ubunge?HUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Ndesa alifariki wakati vikao vya bunge vinaendelea?!Utaratibu wa kupeleka bungeni mwili wa mbunge aliyekupa ulianza lini? Ndesa alipelekwa?
Hata KUB Mbowe kapuliziwa dawa leo!wanasema Mbwa ukimjua jina wala hakung'ati , Rostam anawajulia hawa jamaa
Nimeuliza yanahitaji majibu kwa mujibu ya kanuni zao.Ndesa alifariki wakati vikao vya bunge vinaendelea?!
Mbunge akifariki wakati bunge linaendelea na vikao ndio atapelekwa Bungeni kuagwa na bunge zima!Nimeuliza yanahitaji majibu kwa mujibu ya kanuni zao.
Maana wapo wengi sijaona kuagwa bungeni kama Rashid Akbar(Newala vijijini)
Fursa..!!Rostam again,..
Nyie ni matajiri...tembeeni vifua mbele...Hivi Serikali Yale mabilioni wanakusanya ni kwa ajili gani kama hata mask watumishi katika Vituo vya Afya wanajinunulia?
huna hoja weweHata KUB Mbowe kapuliziwa dawa leo!
Corona siyo siasa bwashee!
Acha ubaguzi wa rangi tunacho hitaji ni uongozi bora na siyo rangi wala kabila LA mtu.
Umesomeka mkuu.Mbunge akifariki wakati bunge linaendelea na vikao ndio atapelekwa Bungeni kuagwa na bunge zima!
Huyu si ndio alisema bunge lisiendelee sasa mbona anataka hadi misiba iletwe bungeni?
Wangesema analetwa bungeni pia angekosoa.
Sent using Jamii Forums mobile app