Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,999
HERI huyo kuliko MaguHUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HERI huyo kuliko MaguHUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Ili akopeshe au vifaaaHapa Tanzanian drugs authority wamehusishwa?
Rostam sijawahi kukuamini, nitakupinga hadi Mwisho! Nasikia kuna Nyumba imewaka Moto Temeke na vifaa kuteketea is that your plan ? Motive! Mission!
asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na Rostam.Hapa Tanzanian drugs authority wamehusishwa?
Rostam sijawahi kukuamini, nitakupinga hadi Mwisho! Nasikia kuna Nyumba imewaka Moto Temeke na vifaa kuteketea is that your plan ? Motive! Mission!
😆😆😆😆 , subiri kesho kwenye Habari Leo " ROSTAM AOKOA JAHAZI "Hapa Tanzanian drugs authority wamehusishwa?
Rostam sijawahi kukuamini, nitakupinga hadi Mwisho! Nasikia kuna Nyumba imewaka Moto Temeke na vifaa kuteketea is that your plan ? Motive! Mission!
Alivyotoa vinasafisha hata wabunge wako.Huyoooo ni FISADIII hawezi safishika
wazee wa design ile huwa wanakula firigisi tu.Namtafuta sana Rostam Azizi. Mwenye contacts zake au anayejua jinsi ya kumpata naomba tuwasliane.
Nitashukuru
Alikuomba umkopeshe hata umuamini?Hapa Tanzanian drugs authority wamehusishwa?
Rostam sijawahi kukuamini, nitakupinga hadi Mwisho! Nasikia kuna Nyumba imewaka Moto Temeke na vifaa kuteketea is that your plan ? Motive! Mission!
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge mh Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.
Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Maendeleo hayana vyama!
ni sawa tu mkuu acha tuongozwe na chotahe, kuliko jiwe, tangu lini ulishawahi kujigonga kwenye jiwe ukaangua kicheko, bora ugongane na rostam angalau atakupa milioni moja ya poleHUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Alikuomba umkopeshe hata umuamini?Hapa Tanzanian drugs authority wamehusishwa?
Rostam sijawahi kukuamini, nitakupinga hadi Mwisho! Nasikia kuna Nyumba imewaka Moto Temeke na vifaa kuteketea is that your plan ? Motive! Mission!
Binti Mrembo! Dawa ya chawa ni kuminya siyo kumficha atakuumbua!Alikuomba umkopeshe hata umuamini?
Kumuamini au kutokumuamini kwako kunamzidishia au kunampunguzia nini Rostam Aziz?
Hata mimi najiuliza, ukimpuliza mtu na bado ameambukizwa sio akikohoa wadudu sio wapo palepale mdomoni ataeneza tu?Hivi ni Nchi gani nyingine inatumia njia hii kudhibiti Corona ?
Standard gauge anajenga rostam kapewa na jiwe!!
Hapo naona kama chawa kakuumbua wewe.Binti Mrembo! Dawa ya chawa ni kuminya siyo kumficha atakuumbua!
Chadema Chadema,CCM powerHuyoooo ni FISADIII hawezi safishika
Hapo watanzania ndipo wanapokuwa watu wa ajabu. Angegawa pesa mitaani ungeenda kupanga foleni. Ametoa kifaa kitachosaidia watu wasibuambukizwe unaleta hoja za kitoto.Kwa hiyo hata Jack Ma na mwenzake wanataka tuwe na rais mchina!
Hapo naona kama chawa kakuumbua wewe.
Alikuomba umkopeshe hata umuamini?
Kumuamini au kutokumuamini kwako kunamzidishia au kunampunguzia nini Rostam Aziz?