Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Halafu ana roho smart ukipambana ukapata connection nae suala la kukusaidia milliono 100 ni jambo la kawaida sana kwake tena anakwambia nisamehe kwa hichi kidogo nilichojaaliwa ndugu yanguAna hela ana hela halafu ana hela tena. Siyo mtu wa makando kando, siyo mtu wa madili japo ilitumika nguvu kubwa kumchafua.
Aziz ni akili kubwa sana, tayari ashanunua shirika lenye ndege nyingi zaidi TZ. Nani mwingine ana jeuri hiyo?
Jamaa ni smart sana, kimavazi na upstairs.
Vijana wa TZ tuna la kujifunza hapa.
Vingi, kikubwa umeni motivate so high!Utajiri wake wewe unakunufaisha nini binafsi?
Hao ndiyo matajiri wa kweli! Huyu jamaa ameni motivate sana hapa TZ. Ni icon kubwa. Pia ni humble sana. Yaani tajiri akuambie samahani hiki ndicho kidogo nilichojaliwa? Aisee tuna la kujifunza kabisa!Halafu ana roho smart ukipambana ukapata connection nae suala la kukusaidia milliono 100 ni jambo la kawaida sana kwake tena anakwambia nisamehe kwa hichi kidogo nilichojaaliwa ndugu yangu
Nakupenda! Silali kisa wewe.Namba moja[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nakupenda! Silali kisa wewe.
Waulize wafanyakazi wa Caspian na Miombo Safari upate ukweli, huyo ni Mhajemi (Persian)Halafu ana roho smart ukipambana ukapata connection nae suala la kukusaidia milliono 100 ni jambo la kawaida sana kwake tena anakwambia nisamehe kwa hichi kidogo nilichojaaliwa ndugu yangu
BORA UNGESEMA UTAJITAHIDI UWE KAMA YEYE.KULIKO ULICHOKITAMKA.Utajiri wake wewe unakunufaisha nini binafsi?
Aliyekwambia Mimi nautaka utajili ni nani?BORA UNGESEMA UTAJITAHIDI UWE KAMA YEYE.KULIKO ULICHOKITAMKA.
Hahahahha, eti 100mil. bado umsamehe kwa kidogo alichojaaliwa. Sasa pesa za Dowans bilioni 900, asiwe na hela amerogwa?Halafu ana roho smart ukipambana ukapata connection nae suala la kukusaidia milliono 100 ni jambo la kawaida sana kwake tena anakwambia nisamehe kwa hichi kidogo nilichojaaliwa ndugu yangu
Haya uje inbox. Nakupenda kimapenzi!Tupendane tuu maana kupendana ni amri ya Mwenyezi Mungu
Haya ndg "sizitaki mbichi hizi"Aliyekwambia Mimi nautaka utajili ni nani?
Si kila mtu anahitaji kuwa tajiri, ni vile tu hamjui shida za matajili.
Hivi vijana wa Sasa mnakwama wapi? ndio swagger hizi?Haya uje inbox. Nakupenda kimapenzi!
Wewe unataka kuwa tajili?Haya ndg "sizitaki mbichi hizi"