Rostam Aziz ana pesa, ni tajiri namba 1 Bongo, tuache wivu

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
2,360
Reaction score
2,269
Ana hela ana hela halafu ana hela tena. Siyo mtu wa makando kando, siyo mtu wa madili japo ilitumika nguvu kubwa kumchafua.

Aziz ni akili kubwa sana, tayari ashanunua shirika lenye ndege nyingi zaidi TZ. Nani mwingine ana jeuri hiyo?

Jamaa ni smart sana, kimavazi na upstairs.

Vijana wa TZ tuna la kujifunza hapa.
 
Halafu ana roho smart ukipambana ukapata connection nae suala la kukusaidia milliono 100 ni jambo la kawaida sana kwake tena anakwambia nisamehe kwa hichi kidogo nilichojaaliwa ndugu yangu
 
Hao ndiyo matajiri wa kweli! Huyu jamaa ameni motivate sana hapa TZ. Ni icon kubwa. Pia ni humble sana. Yaani tajiri akuambie samahani hiki ndicho kidogo nilichojaliwa? Aisee tuna la kujifunza kabisa!
 
Kuna Aziz Ki halafu kuna Rostam Aziz hawa watu katika sekta zao hakuna anayewazidi.
9b9858a8ef734187bcc0acb368a6966c.jpg
 
Halafu ana roho smart ukipambana ukapata connection nae suala la kukusaidia milliono 100 ni jambo la kawaida sana kwake tena anakwambia nisamehe kwa hichi kidogo nilichojaaliwa ndugu yangu
Hahahahha, eti 100mil. bado umsamehe kwa kidogo alichojaaliwa. Sasa pesa za Dowans bilioni 900, asiwe na hela amerogwa?
 
Back
Top Bottom