Rostam Aziz anafaa kuwa Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji

Rostam Aziz anafaa kuwa Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji

Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart

Rostam Aziz anastahili jukumu hilo

Ahsanteni sana 😄
"Hakuna kiongozi aliyeteuliwa juu ya watu kisha akafa hali ya kuwa amewadanganya, isipokuwa Mwenyezi Mungu atamharamishia pepo." (Sahih Bukhari, Sahih Muslim).
 
Mtu smart hawezi kuongoza hii nchi ndugu, tazama michango humu utaona! Kila mtu mwenye mafanikio ni mtuhumiwa na kuna mahakama ya mafisadi! Wenye d mbili tu ndo wanakubalika
 
Rostam katajwa kwenye madili yote ya kifisadi. Hafai kabisa.
Hata Salim na Cleopa walitajwa sana tu enzi za Nyerere lakini Mwalimu akagundua kwa kutajwa tajwa kumbe Watu hawa ni wabunifu wakazidi kupandishwa Vyeo 🤣
 
Back
Top Bottom