Rostam Aziz anafaa kuwa Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji

Rostam Aziz anafaa kuwa Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji

Mkuu Mbatizaji, hivi huko CCM kuna kizunguzungu au mduara fulani hivi? Mtu mmoja leo anaweza kuitwa fisadi papa, kesho mwekezaji mkuu, mara jizi na hujumu uchumi, keshokutwa mshauri mkuu wa uchumi na uwekezaji, sasa waziri wa biashara na viwanda! 🥴😵‍💫🤒😳

Inawezekanaje lakini?
Muulize Tundu Antipas Lisu wa Lowassa 2015 kwamba pale Mwembeyanga alisemaje? 😂😂😂

Usichanganye kuchafuana kisiasa na Utu halisi wa Muhusika
 
Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart

Rostam Aziz anastahili jukumu hilo

Ahsanteni sana 😄
Fisi kumpa bucha.
Waulize CCM walipompa kusimamia masuala ya cham kibiashara na uchumi.
 
Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart

Rostam Aziz anastahili jukumu hilo

Ahsanteni sana 😄
Kuna mtu mmoja aliwahi uliza hivi mbona watu wanafundisha biashara alafu hawana utajiri, mwingine akauliza hivi mbona watu hajawasoma lakini wana biashara kubwa.

Acha upumbavu wewe field ya kiutawala na uongozi ujumla ni tofauti sana na business field
 
Haya wasalimie 🤣
Umeelewa eenh? Au nikueleweshe zaidi?

Kwa ufupi, Mawaziri wa Tanzania wana hamu ya kumuona au kuonana na Rostam japo kwa dakika tano, hawapati nafasi hiyo.

Katafute maana ya "King maker" ni nini, labda utanielewa.
 
Fisi kumpa bucha.
Waulize CCM walipompa kusimamia masuala ya cham kibiashara na uchumi.
Rostam Aziz ndiye alitoa Wazo matawi ya CCM kumiliki vitega uchumi badala ya kutumia Viwanja vyao kulaza magari

Ndio unaona pale Tawi la Makangira kwa mfano Wana kituo cha Mafuta na Supermarket 😂😂
 
Kuna mtu mmoja aliwahi uliza hivi mbona watu wanafundisha biashara alafu hawana utajiri, mwingine akauliza hivi mbona watu hajawasoma lakini wana biashara kubwa.

Acha upumbavu wewe field ya kiutawala na uongozi ujumla ni tofauti sana na business field
Mtu aliyeongiza Biashara kwa mafanikio Uongozi wa Umma ni Kitu kidogo sana kama unabisha waulize Trump na Putin 😂😂😂
 
Back
Top Bottom