Rostam Aziz anafaa kuwa Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji

Rostam Aziz anafaa kuwa Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji

Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart

Rostam Aziz anastahili jukumu hilo

Ahsanteni sana 😄
Kwa vigezo vyako basi bora Bakhresa angepewa wadhifa huo.
 
Soma kuhusu smart people or crooked people
Kwa kifupi sana

Rostam Aziz alikuwa Mtunza Hazina wa CCM Chama Dola

Rostam Aziz akawa Mbunge baadae akajiuzulu baada ya kuona Muda ni Mali hana muda wa kupoteza bungeni

Rostam Aziz akapewa Timu ya Serikali pale Jangwani akaona pamejaa mazuzu watupu akaachana nayo

Rostam Aziz alimiki kampuni ya kufua umeme ya Dowans na baadae akaiuza kwa Serikali Kuu ya Duniani yaani Marekani

Rostam Aziz anafanya biashara za Kizalendo tu ikiwemo Ujenzi wa miundombinu ikiwemo ya barabara za Mwendokasi

Hata yule Mpinga Ufisadi mkuu Shujaa Magufuli alikuwa anamtumia Rostam Aziz kupata ushauri wa kuendesha miradi mikubwa na kabla hajafa alisema Mbunge wa Morogoro mjini amefisadi Viwanda alivyopewa na Serikali tofauti na mwenzake Rostam Aziz ambaye ameviendeleza vyote, Magufuli aliagiza 2025 Rostam agombee Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini

Ahsante sana 😂😂🔥
 
Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart

Rostam Aziz anastahili jukumu hilo

Ahsanteni sana 😄
Hiyo kazi ni ndogo sana kwa Rostam, ni kumshushia hadhi yake. Rostam is way above that circle.

Hiyo kazi ya kina Mwijaku na kijoti.
 
Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart

Rostam Aziz anastahili jukumu hilo

Ahsanteni sana 😄
Mkuu Mbatizaji, hivi huko CCM kuna kizunguzungu au mduara fulani hivi? Mtu mmoja leo anaweza kuitwa fisadi papa, kesho mwekezaji mkuu, mara jizi na hujumu uchumi, keshokutwa mshauri mkuu wa uchumi na uwekezaji, sasa waziri wa biashara na viwanda! 🥴😵‍💫🤒😳

Inawezekanaje lakini?
 
Bado tuna mning'ing'inio wa hadithi za Kabanga ampiga Mkoloni
Ukhanithi wa akili ni mbaya sana
 
Bado tuna mning'ing'inio wa hadithi za Kabanga ampiga Mkoloni
Ukhanithi wa akili ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom