Yoso
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 954
- 1,417
Nchi hii kuna mbwa wanaotembea kwa miguu miwili.Kakutuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi hii kuna mbwa wanaotembea kwa miguu miwili.Kakutuma?
Huyu mtu alikua na chembe chembe za siasaMtu aliyeongiza Biashara kwa mafanikio Uongozi wa Umma ni Kitu kidogo sana kama unabisha waulize Trump na Putin 😂😂😂
Mwaka 2011, Rostam alijiuzulu ubunge na nyadhifa zake ndani ya CCM baada ya tuhuma za ufisadi kumkabili.Rostam Aziz ndiye alitoa Wazo matawi ya CCM kumiliki vitega uchumi badala ya kutumia Viwanja vyao kulaza magari
Ndio unaona pale Tawi la Makangira kwa mfano Wana kituo cha Mafuta na Supermarket 😂😂
Kwa sababu Rostam Aziz ndiye aliongoza msafara ule wa Vatican basi nimekuelewa 😄Umeelewa eenh? Au nikueleweshe zaidi?
Kwa ufupi, Mawaziri wa Tanzania wana hamu ya kumuona au kuonana na Rostam japo kwa dakika tano, hawapati nafasi hiyo.
Katafute maana ya "King maker" ni nini, labda utanielewa.
Tuhuma za Mwembeyanga? 😂Mwaka 2011, Rostam alijiuzulu ubunge na nyadhifa zake ndani ya CCM baada ya tuhuma za ufisadi kumkabili.
Kuna Mpuuzi Juzi aliahidiwa Benz kwa Kumpamba Mpumbavu Kijana AR, sijajua nawe leo umeahidiwa nini na Fisadi.Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart
Rostam Aziz anastahili jukumu hilo
Ahsanteni sana 😄
Ni babako mdogo ?rostam sio fisi
Unataka kuifufua Richmond?Tuhuma za Mwembeyanga? 😂
Hilo ndilo tatizo watu wenye uwezo wa uongozi hawataki siasa, kutokana na fitina za siasa.Bakhresa tangu ngano yake ichomwe moto alipata hatorudi Siasani 🐼
Hao walikuwa wapinzani na mambo yalikuwa hadharani, mchana, kweupe. Hata Lissu hawezi kukubishia.Muulize Tundu Antipas Lisu wa Lowassa 2015 kwamba pale Mwembeyanga alisemaje? 😂😂😂
Usichanganye kuchafuana kisiasa na Utu halisi wa Muhusika
Aliwaabia hisa zao za VodacomFisi kumpa bucha.
Waulize CCM walipompa kusimamia masuala ya cham kibiashara na uchumi.
Fisi ni hao wanaokuja kutajirikia kwenye uwaziri 😂
Aziz alishavukaga level za Ubunge Uchwara
Umeelewa eenh? Au nikueleweshe zaidi?Haya wasalimie 🤣
Huyo Rostam ndo danga lako ?Umeelewa eenh? Au nikueleweshe zaidi?
Kwa ufupi, Mawaziri wa Tanzania wana hamu ya kumuona au kuonana na Rostam japo kwa dakika tano, hawapati nafasi hiyo.
Katafute maana ya "King maker" ni nini, labda utanielewa.
Si atangaze mwenyewe nia yake?Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart
Rostam Aziz anastahili jukumu hilo
Ahsanteni sana 😄