MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
rostam sio fisiWahenga walisema, fisi asipewe bucha!
Acha uchuro πΌHata mimi najua hivo
Fisi ni hao wanaokuja kutajirikia kwenye uwaziri πWahenga walisema, fisi asipewe bucha!
Waliopo Hawa madili ua kifosadi?Rostam katajwa kwenye madili yote ya kifisadi. Hafai kabisa.
Soma kuhusu smart people or crooked peopleKatika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart
Rostam Aziz anastahili jukumu hilo
Ahsanteni sana π
mshisha ya bongo ndio nini?Mtu anaamka anawawekea mada aliyoamua tu, watu mnatiririka. Maisha ya bongo raha
Soma tena vizuri ostadhatmshisha ya bongo ndio nini?
Kwa vigezo vyako basi bora Bakhresa angepewa wadhifa huo.Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart
Rostam Aziz anastahili jukumu hilo
Ahsanteni sana π
Huyo Roastamu ni mmeo?Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart
Rostam Aziz anastahili jukumu hilo
Ahsanteni sana π
Labda kama wewe ni mgeni hapa TZ....rostam sio fisi
Wala sijawahi kufikiria,shukrani kunisahihisha siku nyingi najua aliyekufa siyo huyu.Yule ni Manji
Kwa kifupi sanaSoma kuhusu smart people or crooked people
Hiyo kazi ni ndogo sana kwa Rostam, ni kumshushia hadhi yake. Rostam is way above that circle.Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart
Rostam Aziz anastahili jukumu hilo
Ahsanteni sana π
Bakhresa tangu ngano yake ichomwe moto alipata hatorudi Siasani πΌKwa vigezo vyako basi bora Bakhresa angepewa wadhifa huo.
Mkuu Mbatizaji, hivi huko CCM kuna kizunguzungu au mduara fulani hivi? Mtu mmoja leo anaweza kuitwa fisadi papa, kesho mwekezaji mkuu, mara jizi na hujumu uchumi, keshokutwa mshauri mkuu wa uchumi na uwekezaji, sasa waziri wa biashara na viwanda! π₯΄π΅βπ«π€π³Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart
Rostam Aziz anastahili jukumu hilo
Ahsanteni sana π