johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Hapa tunazungumzia dunia ya kimkakati ustaadh!Hiyo kazi ni ndogo sana kwa Rostam, ni kumshushia hadhi yake. Rostam is way above that circle.
Hiyo kazi ya kina Mwijaku na kijoti.
Hiyo kazi ni ndogo sana kwa Rostam, ni kumvunjia heshima yake.Hapa tunazungumzia dunia ya kimkakati ustaadh!
Muulize Tundu Antipas Lisu wa Lowassa 2015 kwamba pale Mwembeyanga alisemaje? πππMkuu Mbatizaji, hivi huko CCM kuna kizunguzungu au mduara fulani hivi? Mtu mmoja leo anaweza kuitwa fisadi papa, kesho mwekezaji mkuu, mara jizi na hujumu uchumi, keshokutwa mshauri mkuu wa uchumi na uwekezaji, sasa waziri wa biashara na viwanda! π₯΄π΅βπ«π€π³
Inawezekanaje lakini?
Yaani mjinga wewe ni tapeli huna loloteWakati napiga BIA pale Kilimanjaro Hotel Freeman Mwenyekiti wako alikuwa analinda Range Rover na Volvo zisiingie Viwanja vya BoT ππ
Haya wasalimie π€£Hiyo kazi ni ndogo sana kwa Rostam, ni kumvunjia heshima yake.
Hiyo kazi ya kina Mwijaku na Kijoti.
Hakuna waziri wa Tanzania anayepanga mkakati wowote ule.
Leo umetumia dawa gani? hongera sn naona unaelekea kupona sasa.Hiyo kazi ni ndogo sana kwa Rostam, ni kumvunjia heshima yake.
Hiyo kazi ya kina Mwijaku na Kijoti.
Hakuna waziri wa Tanzania anayepanga mkakati wowote ule.
Okay gentleman πKatika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart
Rostam Aziz anastahili jukumu hilo
Ahsanteni sana π
πππ Kitambo sana hiyoYaani mjinga wewe ni tapeli huna lolote
Kanywa alkasusu πππLeo umetumia dawa gani? hongera sn naona unaelekea kupona sasa.
Fisi kumpa bucha.Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart
Rostam Aziz anastahili jukumu hilo
Ahsanteni sana π
Mbowe amekulia BoT shida anaziona kwenye TV pekeeπππ Kitambo sana hiyo
Alikuwa anatembea na mguu wa Kuku π
Alivuka kwa kuchukua share za CCM huko Vodacom + Kagoda + Richmond...Fisi ni hao wanaokuja kutajirikia kwenye uwaziri π
Aziz alishavukaga level za Ubunge Uchwara
Huyu ajuza kumbe ana akili wakati mwingineKanywa alkasusu πππ
Waliiba na JKAlivuka kwa kuchukua share za CCM huko Vodacom + Kagoda + Richmond...
Ninavyojua, "mhuni ni mhuni tu" kama alivyosema ndugu yetu Polepole
Kuna mtu mmoja aliwahi uliza hivi mbona watu wanafundisha biashara alafu hawana utajiri, mwingine akauliza hivi mbona watu hajawasoma lakini wana biashara kubwa.Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart
Rostam Aziz anastahili jukumu hilo
Ahsanteni sana π
Umeelewa eenh? Au nikueleweshe zaidi?Haya wasalimie π€£
Rostam Aziz ndiye alitoa Wazo matawi ya CCM kumiliki vitega uchumi badala ya kutumia Viwanja vyao kulaza magariFisi kumpa bucha.
Waulize CCM walipompa kusimamia masuala ya cham kibiashara na uchumi.
Amekulipa $ ngapi kuja kumsafishia njia humu?Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart
Rostam Aziz anastahili jukumu hilo
Ahsanteni sana π
Mtu aliyeongiza Biashara kwa mafanikio Uongozi wa Umma ni Kitu kidogo sana kama unabisha waulize Trump na Putin πππKuna mtu mmoja aliwahi uliza hivi mbona watu wanafundisha biashara alafu hawana utajiri, mwingine akauliza hivi mbona watu hajawasoma lakini wana biashara kubwa.
Acha upumbavu wewe field ya kiutawala na uongozi ujumla ni tofauti sana na business field
Labda huyo ni babakoKwani rostam si alikufa?
Au walikuwa wawili?