Rostam Aziz anunua asilimia 31.5 ya Williason Diamonds (Mwadui)


WanaCCM asilia baada ya kuondoka mwendazake hayati John Pombe Joseph Magufuli aliyepingania sana watu matajiri wasiishi kwa amani bali wawe 'wanyonge' wasiojiamini n.k, sasa njia ni nyeupe na wanaanza kujitokeza wachangie katika uchumi wa nchi kikweli kweli


Toka Maktaba :

Uchumi wa Kitaifa kutokana na mabepari-wa-kitaifa (national bourgeoisie)

Mabepari wa kitaifa wajikite ktk uzalishaji (national bourgeoisie) na siyo uchuuzi maana wawekezaji wa ndani wamekita zaidi ktk uchuuzi/kuuza bidhaa za ''wakubwa wa nje'' (bourgeoisie compradore).
  • Kichocheo cha uchumi imara ni nini?
  • Je baada ya kukusanya kodi una mpango wa matumizi yake
  • Maamuzi yasiwe yanagongana
  • Mfumo vs Maadili. Binadamu hatuzaliwi na maadili. Kwa hiyo Mfumo hauendi na maadili bali mfumo hujengwa na miiko (yaani kubanwa na miiko uchague moja)
  • Bandari tumezingirwa na kama nchi 7 bahati mbaya mapato yanatumbukia ktk mikono ya watu
  • Tanzania haiwezi kutegemea usafiri wa barabara na magari tu, njia yetu ya kusafiri kipau mbele ingekuwa usafiri wa reli na majini kwa kuwa nchi yetu ina eneo kubwa.
  • Mfumo wetu wa uzalishaji uweje?
  • Kumdhalilisha kiongozi wako ili mfumo wa ulaji uendelee! Kujipendekeza
  • Kushirikishwa kwa wananchi kwa njia ya kidemokrasia, demokrasia itakayoshirikisha wananchi moja kwa moja na viongozi wao.

Analyzing President Magufuli's direction - Prof. Issa Shivji


READ MORE:
The National Bourgeoisie in the Chinese Revolution by Yu Huai

The distinction between the big bourgeoisie and the national bourgeoisie in China was made clear by Comrade Mao Tse-tung, when he wrote in 1939:

“The bourgeoisie is divided into two differ.ent groups. Ono is the big bourgeoisie which is compradore in nature, and the other is the national bourgeoisie.

“The compradore big bourgeoisie directly serves the imperialistic foreign capitalists, who, in turn support and nurture this class. Hence it is closely related to the semi-feudal elements in the rural districts. Therefore, in the history of the Chinese revolution, the big bourgeoisie has never been a force of the Chinese revolution, but remains its enemy....

“... since the national bourgeoisie is oppressed by imperialism, and restricted by the remaining feudal elements, thus it clashes with imperialism and the remaining feudal elements. In this sense, it is a part of the revolutionary forces. During the history of the Chinese revolution, they have shown their vigour in the struggle against imperialism and the government dominated by bureaucrats and warlords.” (Mao Tse-tung: The Chinese Revolution and the Communist Party of China.)

Who are the Chinese big bourgeoisie?

“…The Four Big Families – Chiang, Soong, Kung, and Chen – during their twenty years in power have amassed enormous capital worth ten to twenty billion American dollars and have monopolised the economic life-lines of the entire country. This monopoly capital, merged with state power, becomes state-monopoly capitalism. Monopoly capitalism intimately merged with foreign imperialism and the domestic landlord class and old-type rich peasants, becomes compradore, feudal, state monopoly capitalism. This is the economic foundation of Chiang Kai-shek’s reactionary regime. This state-monopoly capitalism not only oppresses workers and peasants, but also oppresses the petty bourgeoisie and injures the middle bourgeoisie (i.e. the national bourgeoisie – Y.H.).

More: Source : Yu Huai: The National Bourgeoisie in the Chinese Revolution
 
Unawaza kimasikini sana
Embu jifunze kuwaza kitajiri siku moja moja
 
Kinachoendelea sasa ni looting of our national resources.

Through the so called investments.

Asipotokea mtu kusimama kidete we are all done.
Akitokea huyo wa kusimama kidete ataanza kupigwa vita na kukashifiwa na Hao Hao anaowatetea kwa ujira mdogo tu !! Utaitwa kila aina ya majina mabaya !! It's so sad !
 
History ya R.Aziz haijulikani
 
Haya makubaliano yanaweza kuwa na faida kubwa sana kwa Williamson diamonds kwa sababu Petra ilikuwa inapumulia mashine.
Lakini uko mbeleni sitashangaa Rostam Aziz akinunua asilimia zote za Petra na kuwa majority shareholder!
Lazima tu atamiliki...akitoka hapo lazima aingie Barrick
 
Mzawa huyo. Hawa watu wengi wanawaona wakiwa juu ila wanapambana siku nyingi sana. Huyu na marehemu Mufuruki nilikuwa nawaona tangu niko shule ya msingi na tunajua hawa watu matajiri
Ila kwa Umri wako Aziz hajakuzidi miaka 10 labda uwe under 40
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…