Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Fikiria upya baada ya hizi details halafu njoo tena;Upuuzi unaanzia hapa, Hii Mitaji Urithi tuliachiwa na wazee wetu na sisi inaobidi tuwaachie taifa la kesho hizi ni asilimia chache sana kwa Nchi kumiliki, kutokana na value ya hizi minings ingekuwa the other way Wananchi 75 na hao jamaa 25; Ukizingatia haya madude hayaozi
1. Almasi zipo toka Tanzania iumbwe na Mungu ila watanzania wakati huo hawakujua kama zina thamani mpaka alipokuja Williamson miaka ya 1940s huko
2. Anayenunua ndiyo anazipa thamani, asiponunua hata leo zitabaki hazina thamani
3. Tanzania haiweki hata Tsh 100/- kwenye utafiti na uchimbaji lakini inapewa 25% ya hisa
4. Tanzania haina teknolojia ya kuchimba hata kama tukiamua kuwafukuza Petra
5. Debeers au Anglo -American Mining ndiyo wamiliki wa makampuni haya ya akina Barrick, ACACIA, Petra etc. Wanaandika jina Ku suit mazingira ya mahali.
6. Hao hao Anglo American ndiyo solo la la haya madini. Kwa hiyo unaweza ukapata teknolojia ya kuchimba ila ukaosa pa kuyauza