Rostam Aziz anunua asilimia 31.5 ya Williason Diamonds (Mwadui)

Hapo wenyewe wanakula
 
Caspian si mjinga walikubaliana kabla hajafanya hayo yote
 
Kumbe Rostam Aziz ni Mzawa mwenzetu! Nilijua ni Mtanzania mwenye asili ya India.
Ni Mtanzani of a Persian(Iranian) origin aliamia akiwa kijana lakini ni raia halali wa Tz mwenye haki zote za kiraia, si mzawa though.
 
Mmeshasahau. Sasa mnamuita mzawa.
 
Kulialia haisaidii. Bora zimwi likujualo.
 
Mtaani watu wanadanganya sana kuhusu migodi na madini, niliwahi kumsikia jamaa mmoja akiwa Clouds TV kwamba eti kabla ya Magufuli kuna waziri alifukuzwa mgodi mmoja halafu hakumtaja huyo waziri. Watu waongo sana
 
Serikali badala ya kunua share inanunua ndege....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…