Rostam Aziz anunua asilimia 31.5 ya Williason Diamonds (Mwadui)

Rostam Aziz anunua asilimia 31.5 ya Williason Diamonds (Mwadui)

Kumbe mgodi wa williamson ulishakuwa hauna thamani kabisa, yaani mgodi wote thamani yake ni kama dola milioni 48 tu kwani kama milioni 15 ni 31.5% basi 100% ni hiyo $47.5m ? Thamani hiyo ni chini kabisa ya gharama ambazo Waziri wa nishaiti anataka kutumia kukodi crane moja ya kufungulia maji bwawa la nyerere.
Hapo wenyewe wanakula
 
Petra naye kacheza Karata vizuri, its mafia business...amerun with Caspian as a contractor for drill, blast and haulage akiwa hamlipi mpaka alipoona amerudisha hela yake na faida....then anamwambia Caspian sina hela yakukulipa nikuuzie hisa....now wanarun kama business partners wakiinflate operation cost huku share holder mmoja GOT akipigwa hasara...Petra with her shares and Caspian wakiju real opertaion cost na kwenda kugawana mkwanja mbele huko....

GOT make sure all supplies are locals blacks resides here and doing business here, put your eye in op cost..
Caspian si mjinga walikubaliana kabla hajafanya hayo yote
 
Kumbe Rostam Aziz ni Mzawa mwenzetu! Nilijua ni Mtanzania mwenye asili ya India.
Ni Mtanzani of a Persian(Iranian) origin aliamia akiwa kijana lakini ni raia halali wa Tz mwenye haki zote za kiraia, si mzawa though.
 
Bora wafaidike wazawa kuliko makaburu wa south africa.

Ila Watanzania tulivo na asili ya roho mbaya na upumbavu wa kiwango cha lami, lazima watu waanze kutoa kasoro ununuzi huu. Wataona bora hao makaburu waliokua wanatuma ndege private ndani ya mgodi na kusafirisha almasi kwenda South Africa kimya kimya.
Mmeshasahau. Sasa mnamuita mzawa.
 
Hawa watu ndio wanaila Tanzania kwa kigezo cha "watanzania wenye asili ya Asia nk" wanapata mitaji na boost kutoka kwa wenzao walioko huko ughaibuni, wanapenya ndani ya mifumo na kupewa kipaumbele kama wazawa huku wakihonga weusi wenzetu pesa mbuzi na kuiteka nchi....wanainner circle zao za siri kurun game locally and internationally, ukiwagusa lazima uyumbe maana wako nyuma ya weusi wenzetu wanaoamini kwenye mali kuliko utu wa mtanzania..
Kulialia haisaidii. Bora zimwi likujualo.
 
uko sahihi.... japo huwa ni kweli madini yanatoka mgodini na either ndege au helicopter chini ya uangalizi wa vyombo vyote vya serikali kwa maana ya TRA na TMA na ndugu zetu polisi wakiimalisha ulinzi....binafsi sifahamu zile ndege au helicopter zikibeba zinatua wapi...

Zamani migodi yote ilibeba kwa ndege ila baada ya wizi wizi, ikawa ni helicopter inatua direct plant karibu na gold room na kuchukua mali...
Mtaani watu wanadanganya sana kuhusu migodi na madini, niliwahi kumsikia jamaa mmoja akiwa Clouds TV kwamba eti kabla ya Magufuli kuna waziri alifukuzwa mgodi mmoja halafu hakumtaja huyo waziri. Watu waongo sana
 
Bora wafaidike wazawa kuliko makaburu wa south africa.

Ila Watanzania tulivo na asili ya roho mbaya na upumbavu wa kiwango cha lami, lazima watu waanze kutoa kasoro ununuzi huu. Wataona bora hao makaburu waliokua wanatuma ndege private ndani ya mgodi na kusafirisha almasi kwenda South Africa kimya kimya.
Serikali badala ya kunua share inanunua ndege....!!
 
Back
Top Bottom