Rostam Aziz awaomba radhi majaji, asema ULIMI ULITELEZA

Ila mfano kwa jinsi mwenendo mzima wa kesi ya Mbowe ulivyokuwa, halafu mwisho wa siku ikaonekana ana kesi ya kujibu! unaweza kusema Rostam alikuwa sahihi kwa kauli yake ya kwanza.
Mkuu yuko sahihi sababu ni malalamiko ya wakati wote a ndo hivyo tu nchi ya waova mpaka waoga
 
Ulimi hautelezagi hivyo,Yaani uzungumzie umuhimu wa uwekezaji halafu useme Majaji wa Kisutu wanapigiwa simu kupewa maelekezo?mbona ni mada mbili tofauti kabisa?kuteleza gani huko.

Kaogopa jamaa watamsubiria kwenye vyumba vyao vya kesi wambane mbavu,kaona isiwe shida,ila ukweli unabaki palepale tu.
 

Ulimi uliteleza siyo?

Your browser is not able to display this video.
 
Tapeli limekamatika, linajikutaga tajiri msomi, wakati ni _sh_zi mtupu

Na mate natema pthu!
 
Ameunga tawi alilotaka kulikata bila kujua ndipo alipokaa...
 
Ila mfano kwa jinsi mwenendo mzima wa kesi ya Mbowe ulivyokuwa, halafu mwisho wa siku ikaonekana ana kesi ya kujibu! unaweza kusema Rostam alikuwa sahihi kwa kauli yake ya kwanza.
Acheni kuidhalilisha nchi yetu. Hakuna mtu ambaye anajidharau anaweza fanikiwa kwa jambo lolote. Rushwa zipo duniani kote hata huko anakosema kuko salama ni kwakua anajua huko anaweza manipulate hao watu kwakua amebeba interests zao. Stop this none sense, we are a sovereign country na katu hatuwezi kuheshimika pasipo kujiheshimu.

Niwashukuru chama cha Majaji na Mahakimu kusimamia mhimili wao na kukataa hizi dharau za reja reja za watu walioshiba nakusahau walishiba kwasababu ya nchi yetu
 

Wewe jamaa utakuwa huna kazi ya kufanya? Kila uzi lazima ucomment na comments zenyewe in za kubezs tu…Yawezekanw sio mtanzania wewe
 
Mi naona amefafanua tuu kuwa hakumaanisha hivyo aliyemsikia akiomba msamaha aniambie
 
Kaogopa tu mkwara, ila alichokisema ni kweli. Kwamba simu moja tu inatengeneza hukumu yenye matakwa ya mpiga simu
 
Nafikiri hakuna mtu mjanja na ambaye amezicheza siasa za Tanzania Kwa ustadi mkubwa kuliko rostam Aziz, mtu Mmoja mwenye akili za mbali sana, mjanja...tafsiri ya jambo hili ni baya au zuri ni zao la mtizamo tu...watu wenye akili hufanya kama alivyofanya yeye, anawaomba msamaha then behind the scene mnampigia yeye magoti Kwa Kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…