Rostam Aziz awaomba radhi majaji, asema ULIMI ULITELEZA

Ujumbe umefika na ndio ukweli .
 
Hajaomba msamaha kafafanua tu statement yake.
 
Let's be genuine and tell the truth. Who in this country doubts the veracity of his statement?
 
Rostam alikosea tu kumwaga Siri hadharani
 
Lisemwalo lipo! Kama majaji wanapata ahueni ya kinafiki kwa kuombwa msamaha wasiostahili , Sawa, Ila ukweli unajulikana na umewekwa hadharani
 
Tapeli limekamatika, linajikutaga tajiri msomi, wakati ni _sh_zi mtupu

Na mate natema pthu!
Waliokamatika ni hao watoa haki kwa rushwa. Kama wangekuwa wasafi, wangetoa sharti moja tu, la majina yatajwe! Kwa kuwa ni wachafu, wameona waombwe msamaha hadharani.
 
Alitamka wakati ule alikuwa na Upwiruuu😀
 
ANAJIFANYA MJANJA KUMBE MUOGA ANGEKOMAA TUONE USHUJAA WAKE
 
Kauli ya kwanza ndio ukweli. Na alisema kweli tupu. Sijui kwa nini anajihukumu kwa ukweli wake.
Majaji kama kweli hawapigiwi simu waanze kwa kutenda haki kwenye suala la bandari.
 
anakitu hawezi kuropoka,matajiri wanapitia mambo mengi sana licha ya haya ya usirikina ambayo wakwea madafu wengi huamini ndio kikwazo kwenye uchuzi wao
 
Sio hilo tuuu

Angemjibu Dr Slaaa huo mkataba aliosaini huko Marekani mbele ya Samia ulikuwa wa nini
Asisahau hilo pia itapendeza kama alivyofanya kwa DP World
 
Vipi kuhusu tuhuma kwa rais na serikali kutoa rushwa hadi za uteuzi?
Au kwa hili amekazia kauli.
 
Sisi tunachofurahia ni kuwa "MESSAGE SENT AND DELIVERED"
 
Kwani yule mdogo wake aliyekuwa na nyara za Serikali hakuachiwa baada ya yeye Rostam kutoa rushwa?
 
Kuna kesi inakuja ya kumshitaki Rostam kwa kuisingizia serikali kwamba ilimpa rushwa Dr Slaa
 
Takukuru hawawezi kamata Majaji, Takukuru wao Wanyonge wao wa kuwakamata ni Walimu au Mahakimu wa Mahakama za Chini!!
Haya yote ni kwasababu ya Chama chakavu cha CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…