Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

Binafsi siwezi msikiliza Dr Mihogo na Njaa zake badala yake nitamsikoliza na kumpa attention Rostam Kwa sababu kwanza ni mlipa Kodi na Mwajiri ila huyo mwingine ni njaa zinamsumbua ni WA kupuuzwa ,ameshazeeka hana jipya Kwa umri wake...
Dkt. Slaa ni mtumishi wa Mungu na mwanasiasa mkongwe.

Wewe ni fisadi mkubwa, na Igunga walimshukuru Mungu wewe kuondoka .

Na ugomvi wetu na wewe mungu atdumaliza soon.
 
Dr Slaa na PENGO ni watu waliofilisika kimawazo na upeo,Njaa zimekuwa Kali sana na hakuna Maokoto awamu hii,Slaa awamu iliyopita pamoja na madudu yake hakuwahi kusimama kuongea chochote.

Zaid Zaid wakati wapinzani wanapigwa bunduki mchana kweupe na demokrasia inauliwa ndiyo kwanza alipewa Maokoto ya kuwa balozi na PENGO akawa anakula sadaka tuh.

Leo Maokoto hakuna midomo mirefu kama nguchiro
 
Yaani wameongea Wanasiasa wote mashuhuri Mbowe, Prof Lipumba, Dr Slaa, mzee Wassira, mzee Warioba, Jenerali Ulimwengu nk lakini aliyemtoa pangoni Mfalme wa Siasa za Tanzania alhaj Rostam Aziz ni Dr Slaa

Aisee Dr Slaa bado ana Nguvu na Ushawishi mkubwa

Ujue hapo alipo hana Chama ananyemelewa tu na Umoja Party lakini moto anaowapelekea Mafisadi Tundu Lisu anasubiri mbali kabisa yaani Mbagala huko

Mungu mbariki Dr Slaa
 
“Huyu ndugu yangu Dkt. Slaa sijui nimjibu nini maana historia yake haimpi heshima wala uhalali wa kujifanya ni mtu wa kujali maslahi ya Watanzania, siku zote amejijali yeye binafsi na maslahi yake binafsi.” – Mfanyabiashara Rostam Aziz
Hakumjali hata Mungu Bali nnyyegge zake akaasi upadre,hakika ni mbinafsi
 
Kwenye EPA huyu Rostam alikuwa indicted. Chanzo cha utajiri wake ni EPA, cannot refute,
Ushahidi upo ……. Balali Daudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…