Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

Mbunge Mstaafu wa Igunga bilionea Rostam Aziz amesema yeye anafanya kazi na sekta Binafsi hafanyi Kazi na Serikali sasa atakuwaje Fisadi?

Rostam amesema hajawahi kuomba ku-supply hata Sindano serikalini sasa atakuwaje Fisadi!!

Sina skendo yoyote katika Biashara Zangu na sifanyi Biashara ya Bandari ila Ikitokea fursa sitaiacha , amesisitiza Aziz

Source: Jambo TV
 
🤣🤣🤣Nilifika Igunga mwaka jana, aiseeh ni aibu tupu, 🤔 huwezi dhania rostam alishakuwa mbunge pale,pamechoka,mji hauna stend,soko,haueleweki senta iko wapi,yaani vululu vululu.
 
Mbona kama Rostam anajitetea sana.

Kuna kitu hakiko sawa
Kwenye hili naamini yuko clean kipindi kile cha list of shame alikaa kimya maana yake aliogopa kujiumbua zaidi lakini sasa hataki kuchafuliwa bure over
 
Ccm Kahama lini mara ya mwisho alikuwa balozi
 
Ila ni kweli, huyu mzee alichowafanyia CDM hakiwezi kusahaulika kamwe.
 
Rostam kaongea vizuri sana. Tunasubiri mrejesho toka kwa mwana CCM mtiifu. Dr. Slaa
 
Dr Mihogo siku hizi haeleweki anasimamia nini
 
 
Atuambie kama yake yeye Rostam ina uthubutu wa kuongea!
Dowans ilikuwaje!

umiliki wa vodacom aliupataje!
Waandishi wa habari alikuwa anawanunua kwa sababu zipi!
Bora angekaa kimya kuficha uovu wake!
 
Nchi imejaaa rushwa nyingi nyingi na kubwa kubwa ,mpaka wafanyabiashara wezi wanajuhamin na kuanza kutukana na kukejeli wazawa.Huyu Rostam ni mhuni mhuni tu.Mjinga mjinga tu.Mwizi mwizi tu.Anajihamin kabisa kuwa yete ndiye bosi wa nchi hii.
 
Kumbe Dr alinunuliwa,akapata nauli akaenda zake Canada,alambishwa asali akatulia.Baada ya ubalozi karudi kusumbua.Kumbe ukilambishwa asali unatulia
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Toka 2015, ndy leo yazungumzwe hayo!
Tunategemea Hoja!
 
Ni kama anatutukana watanzania wote with His body language and attitude 🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…