Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Naunga mkono hojaNa watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani ya matrilioni kwa bilioni 5 tu.
Tunamshukuri kwa kutusanua jumla ya migodi iliyopo pale, lakini hoja ya msingi bado hajaijibu.[/I][/FONT][/SIZE]
Hoji mchakato ulio mfanya anunue hizo hisa, huo mchakato Rostom hawajibike kabisa acheni jama afanye capital accumulation nyie 50% ya mda wenu mko simba Yanga kuwekeza hamtaki ni majungu tu hamna jamii ya watu wa hovyio kama wa Tanzania weusi.View attachment 3466460
PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu.
Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani ya matrilioni kwa bilioni 5 tu.
Tunamshukuri kwa kutusanua jumla ya migodi iliyopo pale, lakini hoja ya msingi bado hajaijibu.
Kwahiyo Mimi mtu akiniuzia kiwanja kilichopo mbweni kwa laki nne nyinyi mnaumia?
Rostam hajauziwa mgodi na serikali kauziwa na mtu binafsi kinachowauma ni kipi?
Hivi kwanini maskini huwa tuna chuki kubwa na waliofanikiwa badala ya sisi kupambana na kutengeneza mifumo tuwe kama wao
Tatizo kuanzia Lisu na CHADEMA na akina polepole ni ujinga umewajaa wanadhani serikali ndio ilimuuziaKwahiyo Mimi mtu akiniuzia kiwanja kilichopo mbweni kwa laki nne nyinyi mnaumia?
Rostam hajauziwa mgodi na serikali kauziwa na mtu binafsi kinachowauma ni kipi?
Hivi kwanini maskini huwa tuna chuki kubwa na waliofanikiwa badala ya sisi kupambana na kutengeneza mifumo tuwe kama wao
bro unapoteza muda wako bure kuelezea,watu wao wanachotaka kusikia kuwa rostam mwizi basiRostam hajanunua kwa Serikali elewa ilo, Kuna Investor aliyekuwa anamiliki aliamua kuuza na aka list hizo share kwenye London Stock Exchange ndio Rostam aliponunulia uko share.
Watanzania wengi walio masikini akili ni zile zile wawe Ccm au Chadema huwaza fitina majungu uchawi kwa wale wanao wazidi mali na akili.Tatizo kuanzia Lisu na CHADEMA na akina polepole ni ujinga umewajaa wanadhani serikali ndio ilimuuzia
Hivi huyu jamaa anaenda msikitini kweli? Mbona Hana hofu na MUNGU
Hofu ipi tena mkuu, kwani kaiba nini mbona wanao ua kuteka kunyanganya mali za watu pia wanaenda kwenye nyumba za ibada.Hivi huyu jamaa anaenda msikitini kweli? Mbona Hana hofu na MUNGU
Na hata chadema ikishika nchi bado hao viongozi watafanya kazi na rostam na watu pia watawatukana chadema kuwa wamewageuka na wanakuka na rostam,hiyo ndio akili finyuTatizo kuanzia Lisu na CHADEMA na akina polepole ni ujinga umewajaa wanadhani serikali ndio ilimuuzia
Rostam asidanganye umma,yeye kachukua mgodi uliokua wa NDC kiajabu ajabu hata wafanyakazi wanashangaa.Kampuni yake ya Caspian ilikua mtoa huduma wa mgodi uleNaunga mkono hoja
P
Hakuna mtu anayekulazimisha uwe maskini mkuu,sisi ni masikini kwa sababu wao ni matajiri, hiyo ndiyo sababu, plus hes evil ...
Huu utamaduni wa Kuwa na Chuki na matajiri sio zuri kabisa kwa taifabro unapoteza muda wako bure kuelezea,watu wao wanachotaka kusikia kuwa rostam mwizi basi
Kwa nini kila uchao anatajwa kama fisadi?ubaya zaidi vi kampuni vyake ukienda Brela hukuti jina lake.Anajificha sana saView attachment 3466460
PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu.
Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani ya matrilioni kwa bilioni 5 tu.
Tunamshukuri kwa kutusanua jumla ya migodi iliyopo pale, lakini hoja ya msingi bado hajaijibu.
Rostam hajanunua kwa Serikali elewa ilo, Kuna Investor aliyekuwa anamiliki aliamua kuuza na aka list hizo share kwenye London Stock Exchange ndio Rostam aliponunulia uko share.
Na ni mwizi kwel kweli🤣🤣🤣bro unapoteza muda wako bure kuelezea,watu wao wanachotaka kusikia kuwa rostam mwizi basi