Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

Tatizo kuanzia Lisu na CHADEMA na akina polepole ni ujinga umewajaa wanadhani serikali ndio ilimuuzia
Sidhani kama shida ni chama.
Wakina polepole na Lissu huwa wanaujua ukweli ila huwa wanapinga au kupindisha kwa sababu ni kazi yao kufanya hivyo na ndio inawaweka mjini na kuwapa umaarufu.
Shida ni ya kisaikolojia kwetu wananchi kwani wengi huwa wanashindwa kujudge kipi ni sahihi na kipi ni tangopori.
Kila kinachosemwa sisi hatuna muda wa kuchanganua ni kuruka nacho tu.
Hii ni shida
 
Na hata chadema ikishika nchi bado hao viongozi watafanya kazi na rostam na watu pia watawatukana chadema kuwa wamewageuka na wanakuka na rostam,hiyo ndio akili finyu
CHADEMA kifupi wanafiki sana walitukana Lowasa kuwa Fisadi mkubwa alipoingia CHADEMA wakajikausha utafikiri sio wao waliokuwa wakimsema
 
Hakuna mtu anayekulazimisha uwe maskini mkuu,
Umaskini sio kilema.
Jifunze kwa waliofanikiwa.
Wakati Rostam akifuatilia data kwenye masoko ya hisa na hata kupata taarifa kuwa Kuna kampuni zinauza migodi,wewe uko jamiiforums ukiandika majungu na kulalamika.

Tuache kuwapa watu wengine lawama kwa sababu ya ujinga wetu.
Umaskini ni zao la matokeo yako ya Kila siku,huhitaji kumtupia lawama aliyefanikiwa kuwa ndio chanzo cha wewe kutofanikiwa.
Kila mtu ana nafasi ya kufanikiwa kwenye hii nchi,tumia akili zako vizuri tu

una oversimplify kila kitu, siyo kila mtu anaweza kuwa tajiri na isitoshe hakuna anayepinga mtu kuwa tajiri tunachotaka ni njia halali za utajiri kama kanunua mgodi basi pia alipie gharama zinazoendana na thamani ya mgodi pmj na kodi serikalini ili serikali iweze kuitumia hiyo kodi kuwezesha wengine pia waweze kupanda ngazi pia, jiulize kwani huyo persia yeye ni wa kwanza kuwa tajiri hapa tanzagiza? ulishawahi kusikia watu wakiwa na shida na bakhresa kwa mfano? au R.Mengi au A.Mufuruki (wote rip) ? ..
 
View attachment 3466460

PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu.

Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani ya matrilioni kwa bilioni 5 tu.

Tunamshukuri kwa kutusanua jumla ya migodi iliyopo pale, lakini hoja ya msingi bado hajaijibu.
Dhahabu ya barrick, dhahabu ya ggm, kampuni yake ikianza zalisha bila shaka yatakua makaa ya mawe ya kampuni yake,yana utofauti na ya wengine
 
una oversimplify kila kitu, siyo kila mtu anaweza kuwa tajiri na isitoshe hakuna anayepinga mtu kuwa tajiri tunachotaka ni njia halali za utajiri kama kanunua mgodi basi pia alipie gharama zinazoendana na thamani ya mgodi pmj na kodi serikalini ili serikali iweze kuitumia hiyo kodi kuwezesha wengine pia waweze kupanda ngazi pia, jiulize kwani huyo persia yeye ni wa kwanza kuwa tajiri hapa tanzagiza? ulishawahi kusikia watu wakiwa na shida na bakhresa kwa mfano? au R.Mengi au A.Mufuruki (wote rip) ? ..
Ufinyu wa exposure ni kitu hatari
Huo mgodi ulikuwa wa kampuni binafsi Ikausajili kwenye soko la hisa Uingereza

Rostam kanunua hisa kwenye soko la hisa uingereza

Sasa akulipe kodi wewe mtanzania kama nani? Kama kodi ni kulipa uingereza sio Tanzania alikonunua
 
Rostam asidanganye umma,yeye kachukua mgodi uliokua wa NDC kiajabu ajabu hata wafanyakazi wanashangaa.Kampuni yake ya Caspian ilikua mtoa huduma wa mgodi ule

Sidhani kama una taarifa sahihi.
Yes, Caspian alikuwa mtoa huduma pale Tancoal, Je intra energy walikuwa wakimlipa Caspian?..

Kulikuwa na contractual dispute ya Caspian akimdai Intraenergy zaidi ya Bil 13 baada ya kutoa huduma bila kulipwa.

Intra energy alikuwa na 70% na Serikali kupitia NDC 30%.
Kupitia Hilo deni ndio Caspian alipoacquire hizo 70% Kwa kutop up hela ontop ya deni..

Hili suala anapaswa kutafuta Intra energy ndio anaweza kuwa na maelezo mazuri sio HP.
Maana siasa na uongo uongo vimekuwa vingi sana.

safarini Tandika Tanzania.
 
Ufinyu wa exposure ni kitu hatari
Huo mgodi ulikuwa wa kampuni binafsi Ikausajili kwenye soko la hisa Uingereza

Rostam kanunua hisa kwenye soko la hisa uingereza

Sasa akulipe kodi wewe mtanzania kama nani? Kama kodi ni kulipa uingereza sio Tanzania alikonunua

Intra energy Australia 70%..
Kimsingi RA alinunua hisa 70% za Intra energy tena alikuwa akimdai intra energy na walikuwa na contractual dispute mahakamani.

Watu wengi huwa ni oyaoya hawana taarifa sahihi, hata HP katika hili kaingizwa chaka Hana taarifa sahihi.
Shida ya watanzia tunapenda sana uongo uongo na umbeya na wala hatutafuti taarifa sahihi.

Safarini Tandika Tanzania.
 
kanpuni za rostam ziko waziwazi
Uko sahihi kampuni zake hizi hapa

Here’s a detailed overview of Rostam Aziz’s major business ventures in Tanzania, based on the most recent available information:

Key Companies and Investments​

1. Telecommunications​

  • Vodacom Tanzania
    Aziz held around 35% of Vodacom Tanzania via Cavalry Holdings but sold 17.2% in 2014 ($250 million) and the remainder via Mirambo Holdings in 2019 ($220 million) .
  • MIC Tanzania Plc (Tigo and Zantel)
    In a 2022 partnership with Axian Group, Aziz acquired MIC Tanzania, gaining control of both Tigo and Zantel. As of November 2024, these telecom brands were rebranded—Tigo became Yas, and its mobile money service Tigo Pesa is now Mixx by Yas .

2. Energy (LPG)​

  • Taifa Gas Group
    Aziz owns Taifa Gas, the largest LPG supplier in Tanzania, with the biggest storage facility (7,450 metric tonnes) and operations across mainland Tanzania and Zanzibar. The company has also started expansion into Kenya .

3. Mining & Civil Engineering​

  • Caspian Limited
    Founded in 1987, Caspian is now the largest indigenous contract mining and civils firm in Tanzania. Its services include earth-moving and mining projects, catering to heavyweights like De Beers, Barrick, and more .
  • Taifa Mining and Civils Limited
    Another mining contractor under Aziz’s portfolio, serving top-tier global mining companies .

4. Leather Processing​

  • Taifa Leather Tanzania (formerly ACE Leather Tanzania Limited)
    The largest leather goods processor in the country, operating a $25 million factory in Morogoro that processes around 5,000 cow hides daily .

5. Media and Print​

  • New Habari (2006) Limited
    Controls several Swahili newspapers including Mtanzania, The African, Bingwa, Dimba, and Rai, managed via proxies .

6. Aviation & Tourism​

  • Coastal Travels / Coastal Aviation
    Through Taifa Aviation Company, Aziz acquired 51% of Coastal Travels (also referred to as Coastal Aviation) in September 2022 and is expected to eventually own 100%. The company operates safari and charter services with a fleet of Cessna Caravans and PC‑12s and serves over 40 destinations .

7. Renewable Energy​

  • Taifa Energy – Zanzibar Solar Project
    In 2023, Aziz's Taifa Energy partnered with General Capital Limited and Zanzibar Electricity Corporation (ZECO) to build a 180 MW utility-scale solar PV project in Zanzibar. Phase one includes a 30 MW plant in Bambi, set to complete in 2024 .

8. Other Interests​

  • Real Estate
    Aziz has extensive holdings in real estate across Tanzania, Dubai, and Oman .
  • Selous LLC
    His Dubai-based single-family office that manages much of his empire .

Summary Table​

SectorCompany / InvestmentHighlights
TelecomVodacom TanzaniaFormer major shareholder; fully divested by 2019
TelecomMIC Tanzania (Tigo & Zantel → Yas)Acquired in 2022; rebranded as Yas
Energy (LPG)Taifa GasLargest LPG supplier in Tanzania; regionally active
Mining & Civil EngineeringCaspian Limited / Taifa MiningTop local contractor for major mining firms
LeatherTaifa Leather TanzaniaLeading leather processor, major factory in Morogoro
MediaNew Habari (2006) LtdOwner of several Swahili newspapers
Aviation / TourismCoastal Aviation (Coastal Travels)Acquired majority stake; operates safari charter flights
Renewable EnergyTaifa EnergyDeveloping major solar power project in Zanzibar
Real EstatePrivate holdingsProperties in Tanzania, Dubai, Oman
Investment OfficeSelous LLCManages his business portfolio
 
una oversimplify kila kitu, siyo kila mtu anaweza kuwa tajiri na isitoshe hakuna anayepinga mtu kuwa tajiri tunachotaka ni njia halali za utajiri kama kanunua mgodi basi pia alipie gharama zinazoendana na thamani ya mgodi pmj na kodi serikalini ili serikali iweze kuitumia hiyo kodi kuwezesha wengine pia waweze kupanda ngazi pia, jiulize kwani huyo persia yeye ni wa kwanza kuwa tajiri hapa tanzagiza? ulishawahi kusikia watu wakiwa na shida na bakhresa kwa mfano? au R.Mengi au A.Mufuruki (wote rip) ? ..
Kumbuka muuzaji wa mgodi sio Serikali ni mtu binafsi.
Leo hii Shirima ambaye ndio mwenye hisa asilimia kubwa pale Precision Air akiamua kuuza hisa zake kwa Kijakazi kwa milioni 500.
Watu wakianza kumlaumu Kijakazi Kijakazi kwa kununua hisa za precision air kwa bei ndogo tofauti na thamani ya kampuni unadhani watakuwa sahihi?
Kama muuzaji na mnunuzi walikubaliana nyinyi mnacholalamika ni kipi?
Huo mgodi sio wa umma,Kuna makampuni yalishachukua miaka mingi na hayo makampuni ndio yamemuuzia rostam mgodi mmoja kati ya migodi 16 iliyopo
 
Intra energy Australia 70%..
Kimsingi RA alinunua hisa 70% za Intra energy tena alikuwa akimdai intra energy na walikuwa na contractual dispute mahakamani.

Watu wengi huwa ni oyaoya hawana taarifa sahihi, hata HP katika hili kaingizwa chaka Hana taarifa sahihi.
Shida ya watanzia tunapenda sana uongo uongo na umbeya na wala hatutafuti taarifa sahihi.

Safarini Tandika Tanzania.
Polepole ana Taarifa sahihi ila kaamua tu kumbagaza Rostam
 
Ufinyu wa exposure ni kitu hatari
Huo mgodi ulikuwa wa kampuni binafsi Ikausajili kwenye soko la hisa Uingereza

Rostam kanunua hisa kwenye soko la hisa uingereza

Sasa akulipe kodi wewe mtanzania kama nani? Kama kodi ni kulipa uingereza sio Tanzania alikonunua

the devil is in the details siku zote ...
 
una oversimplify kila kitu, siyo kila mtu anaweza kuwa tajiri na isitoshe hakuna anayepinga mtu kuwa tajiri tunachotaka ni njia halali za utajiri kama kanunua mgodi basi pia alipie gharama zinazoendana na thamani ya mgodi pmj na kodi serikalini ili serikali iweze kuitumia hiyo kodi kuwezesha wengine pia waweze kupanda ngazi pia, jiulize kwani huyo persia yeye ni wa kwanza kuwa tajiri hapa tanzagiza? ulishawahi kusikia watu wakiwa na shida na bakhresa kwa mfano? au R.Mengi au A.Mufuruki (wote rip) ? ..
utajiri kwenye hizi nchi zetu unaambatana na Umafia, kufikiri hao ulowataja ni wasafi sana ni kuonesha kiwango kikubwa sana cha umasikini wa mtanzania... unadhani hata hao serikali ikiamua kuwa agaist nao iwafatilie unadhani watatoboa???? Tulia tu mkuu.... Matajiri wana lobby, wananetworks kibao, wanahonga sana ili wa maxmize profit... na ndio maana matajiri wengi biashara zai haziko wazi kivileeeeeee
 
GT
Ukimsikiliza RM anamtaja.taja Magufuli ambaye ni marehemu. RM kashutumiwa kuuziwa migodi na serikali ya.samia.

Kwa nini katika utetezi wake hamtaji samia huu ni uhuni mwingine anajaribu kujisafisha lakini tumemkataa na kisukuma chake cha mchongo.

Au anataka tukamfufue Magufuli tumuulize kama asemayo ni ukweli au uongo. Maana anajua fika kabisa akimtaja marehemu hakuna ushahidi.
 
Hakumtaja yeye mwenyewe bali mwandishi ndio alianza kumuuliza kwa nini alikuwa hapatani na Magufuli

Na ni kweli Magufuli alimuita Rostam Ikulu na akaita waandishi akapiga nae picha, kisha akazunguka nae kwenye ziara Morogoro
 
utajiri kwenye hizi nchi zetu unaambatana na Umafia, kufikiri hao ulowataja ni wasafi sana ni kuonesha kiwango kikubwa sana cha umasikini wa mtanzania... unadhani hata hao serikali ikiamua kuwa agaist nao iwafatilie unadhani watatoboa???? Tulia tu mkuu.... Matajiri wana lobby, wananetworks kibao, wanahonga sana ili wa maxmize profit... na ndio maana matajiri wengi biashara zai haziko wazi kivileeeeeee

hiyo ni dunia nzima siyo tanzagiza tu na inaeleweka, ila inapotokoea mtu anawafanyia umafia halafu anajifanya kimbele mbele kila mahali yuko kuwafanya watu wote ni wajinga hapo ndipo tatizo lilipo, yeye angekaa tu kimya na utajiri wake na kuendelea kufanya biashara kama hao wengine akina bakhresa & co., lkn tatizo ni mchafu halafu yuko kimbele mbele kila mahali ...
 
Sasa kama mnamsema si anahaki ya kujieleza Mkuu? Kama wewe una haki ya kusema kwanini yeye akose haki ya kujisemea (na wala hakusemi wewe?)

Tuwe civilized tu kidogo ili tujifunze kusikia sauti ya tusiowapenda...

Ni ukweli jamaa anafanya bishara kubwa kubwa sana; matjiri wengi wanafanya biashara ndogo ndogo... mfano ni watanzani wangapi wako kwenye oil and gas? Telecom? Tujifunze tu... hizi ni biashara kubwa snaa zinahitaji network sana. Ndiyo maana Barick wanachimba madini kwenye nchi nyingi sana... sio kwa bahati mbaya...

RA angekuwa anauza ubuyu hapo sawa,,,... tujifunze tu na tujufunze sana
 
W
Hofu ipi tena mkuu, kwani kaiba nini mbona wanao ua kuteka kunyanganya mali za watu pia wanaenda kwenye nyumba za ibada.
Angalia MTU kama bakhresa anavyosaidia watu na kuishi maisha ya haki hiyo yote ni kwaajili ya Ile hofu ya MUNGU, huwezi kumfananisha na huyo mwizi wa Mali za watanzania.
Maisha ya haki yapo Kwa bakhresa Tu hawa wengine hata msikitini hawajawahi kuingia
 
Back
Top Bottom