D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
Sidhani kama shida ni chama.Tatizo kuanzia Lisu na CHADEMA na akina polepole ni ujinga umewajaa wanadhani serikali ndio ilimuuzia
CHADEMA kifupi wanafiki sana walitukana Lowasa kuwa Fisadi mkubwa alipoingia CHADEMA wakajikausha utafikiri sio wao waliokuwa wakimsemaNa hata chadema ikishika nchi bado hao viongozi watafanya kazi na rostam na watu pia watawatukana chadema kuwa wamewageuka na wanakuka na rostam,hiyo ndio akili finyu
Hakuna mtu anayekulazimisha uwe maskini mkuu,
Umaskini sio kilema.
Jifunze kwa waliofanikiwa.
Wakati Rostam akifuatilia data kwenye masoko ya hisa na hata kupata taarifa kuwa Kuna kampuni zinauza migodi,wewe uko jamiiforums ukiandika majungu na kulalamika.
Tuache kuwapa watu wengine lawama kwa sababu ya ujinga wetu.
Umaskini ni zao la matokeo yako ya Kila siku,huhitaji kumtupia lawama aliyefanikiwa kuwa ndio chanzo cha wewe kutofanikiwa.
Kila mtu ana nafasi ya kufanikiwa kwenye hii nchi,tumia akili zako vizuri tu
Dhahabu ya barrick, dhahabu ya ggm, kampuni yake ikianza zalisha bila shaka yatakua makaa ya mawe ya kampuni yake,yana utofauti na ya wengineView attachment 3466460
PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu.
Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani ya matrilioni kwa bilioni 5 tu.
Tunamshukuri kwa kutusanua jumla ya migodi iliyopo pale, lakini hoja ya msingi bado hajaijibu.
kanpuni za rostam ziko waziwazi,hakuna kinachofichwa,hivi wewe brela ushaenda au ni mkumbo tu?Kwa nini kila uchao anatajwa kama fisadi?ubaya zaidi vi kampuni vyake ukienda Brela hukuti jina lake.Anajificha sana sa
na.Hana nia njema.Halafu kwanini anapenda ikulu sana?
Ufinyu wa exposure ni kitu hatariuna oversimplify kila kitu, siyo kila mtu anaweza kuwa tajiri na isitoshe hakuna anayepinga mtu kuwa tajiri tunachotaka ni njia halali za utajiri kama kanunua mgodi basi pia alipie gharama zinazoendana na thamani ya mgodi pmj na kodi serikalini ili serikali iweze kuitumia hiyo kodi kuwezesha wengine pia waweze kupanda ngazi pia, jiulize kwani huyo persia yeye ni wa kwanza kuwa tajiri hapa tanzagiza? ulishawahi kusikia watu wakiwa na shida na bakhresa kwa mfano? au R.Mengi au A.Mufuruki (wote rip) ? ..
Rostam asidanganye umma,yeye kachukua mgodi uliokua wa NDC kiajabu ajabu hata wafanyakazi wanashangaa.Kampuni yake ya Caspian ilikua mtoa huduma wa mgodi ule
Ufinyu wa exposure ni kitu hatari
Huo mgodi ulikuwa wa kampuni binafsi Ikausajili kwenye soko la hisa Uingereza
Rostam kanunua hisa kwenye soko la hisa uingereza
Sasa akulipe kodi wewe mtanzania kama nani? Kama kodi ni kulipa uingereza sio Tanzania alikonunua
Uko sahihi kampuni zake hizi hapakanpuni za rostam ziko waziwazi
| Sector | Company / Investment | Highlights |
|---|---|---|
| Telecom | Vodacom Tanzania | Former major shareholder; fully divested by 2019 |
| Telecom | MIC Tanzania (Tigo & Zantel → Yas) | Acquired in 2022; rebranded as Yas |
| Energy (LPG) | Taifa Gas | Largest LPG supplier in Tanzania; regionally active |
| Mining & Civil Engineering | Caspian Limited / Taifa Mining | Top local contractor for major mining firms |
| Leather | Taifa Leather Tanzania | Leading leather processor, major factory in Morogoro |
| Media | New Habari (2006) Ltd | Owner of several Swahili newspapers |
| Aviation / Tourism | Coastal Aviation (Coastal Travels) | Acquired majority stake; operates safari charter flights |
| Renewable Energy | Taifa Energy | Developing major solar power project in Zanzibar |
| Real Estate | Private holdings | Properties in Tanzania, Dubai, Oman |
| Investment Office | Selous LLC | Manages his business portfolio |
Kumbuka muuzaji wa mgodi sio Serikali ni mtu binafsi.una oversimplify kila kitu, siyo kila mtu anaweza kuwa tajiri na isitoshe hakuna anayepinga mtu kuwa tajiri tunachotaka ni njia halali za utajiri kama kanunua mgodi basi pia alipie gharama zinazoendana na thamani ya mgodi pmj na kodi serikalini ili serikali iweze kuitumia hiyo kodi kuwezesha wengine pia waweze kupanda ngazi pia, jiulize kwani huyo persia yeye ni wa kwanza kuwa tajiri hapa tanzagiza? ulishawahi kusikia watu wakiwa na shida na bakhresa kwa mfano? au R.Mengi au A.Mufuruki (wote rip) ? ..
Polepole ana Taarifa sahihi ila kaamua tu kumbagaza RostamIntra energy Australia 70%..
Kimsingi RA alinunua hisa 70% za Intra energy tena alikuwa akimdai intra energy na walikuwa na contractual dispute mahakamani.
Watu wengi huwa ni oyaoya hawana taarifa sahihi, hata HP katika hili kaingizwa chaka Hana taarifa sahihi.
Shida ya watanzia tunapenda sana uongo uongo na umbeya na wala hatutafuti taarifa sahihi.
Safarini Tandika Tanzania.
Ufinyu wa exposure ni kitu hatari
Huo mgodi ulikuwa wa kampuni binafsi Ikausajili kwenye soko la hisa Uingereza
Rostam kanunua hisa kwenye soko la hisa uingereza
Sasa akulipe kodi wewe mtanzania kama nani? Kama kodi ni kulipa uingereza sio Tanzania alikonunua
utajiri kwenye hizi nchi zetu unaambatana na Umafia, kufikiri hao ulowataja ni wasafi sana ni kuonesha kiwango kikubwa sana cha umasikini wa mtanzania... unadhani hata hao serikali ikiamua kuwa agaist nao iwafatilie unadhani watatoboa???? Tulia tu mkuu.... Matajiri wana lobby, wananetworks kibao, wanahonga sana ili wa maxmize profit... na ndio maana matajiri wengi biashara zai haziko wazi kivileeeeeeeuna oversimplify kila kitu, siyo kila mtu anaweza kuwa tajiri na isitoshe hakuna anayepinga mtu kuwa tajiri tunachotaka ni njia halali za utajiri kama kanunua mgodi basi pia alipie gharama zinazoendana na thamani ya mgodi pmj na kodi serikalini ili serikali iweze kuitumia hiyo kodi kuwezesha wengine pia waweze kupanda ngazi pia, jiulize kwani huyo persia yeye ni wa kwanza kuwa tajiri hapa tanzagiza? ulishawahi kusikia watu wakiwa na shida na bakhresa kwa mfano? au R.Mengi au A.Mufuruki (wote rip) ? ..
utajiri kwenye hizi nchi zetu unaambatana na Umafia, kufikiri hao ulowataja ni wasafi sana ni kuonesha kiwango kikubwa sana cha umasikini wa mtanzania... unadhani hata hao serikali ikiamua kuwa agaist nao iwafatilie unadhani watatoboa???? Tulia tu mkuu.... Matajiri wana lobby, wananetworks kibao, wanahonga sana ili wa maxmize profit... na ndio maana matajiri wengi biashara zai haziko wazi kivileeeeeee
Tatizo letu mpaka kwenye Mambo ya Taifa tunaleta Siasa!!!!Migodi amenunua kwenye Masoko ya Hisa huko duniani yaani Australia na London
Sasa kama mnamsema si anahaki ya kujieleza Mkuu? Kama wewe una haki ya kusema kwanini yeye akose haki ya kujisemea (na wala hakusemi wewe?)hiyo ni dunia nzima siyo tanzagiza tu na inaeleweka, ila inapotokoea mtu anawafanyia umafia halafu anajifanya kimbele mbele kila mahali yuko kuwafanya watu wote ni wajinga hapo ndipo tatizo lilipo, yeye angekaa tu kimya na utajiri wake na kuendelea kufanya biashara kama hao wengine akina bakhresa & co., lkn tatizo ni mchafu halafu yuko kimbele mbele kila mahali ...
Angalia MTU kama bakhresa anavyosaidia watu na kuishi maisha ya haki hiyo yote ni kwaajili ya Ile hofu ya MUNGU, huwezi kumfananisha na huyo mwizi wa Mali za watanzania.Hofu ipi tena mkuu, kwani kaiba nini mbona wanao ua kuteka kunyanganya mali za watu pia wanaenda kwenye nyumba za ibada.