Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

Ngoja tuone,bado kuna maswali mengi.
 
Rostam asidanganye umma,yeye kachukua mgodi uliokua wa NDC kiajabu ajabu hata wafanyakazi wanashangaa.Kampuni yake ya Caspian ilikua mtoa huduma wa mgodi ule

Intra energy 70%.
GOT kupitia NDC 30%.
Together ilikuwa Tancoal.

Taifa group wameacquire hizo 70% za Intra energy.

Safarini Tandika Tanzania.
 
Mm hata kusikiliza siwezi mtu mwenye makando kando ukimpa mda ajitetea unaweza kumuona malaika kumbeeeee niii........
 
Damu ya marehemu hunuka
 
Tatizo letu mpaka kwenye Mambo ya Taifa tunaleta Siasa!!!!

Manji,Azizi,Lugumi saidi etc hawa wote ni Mafisadi wanatumiwa na Viongozi wa nchi,lakini kwasababu tunaleta siasa lazima kuna upande utakuwa kwa Azizi.
👍👍👍👍👍👍
 
Polepole ana Taarifa sahihi ila kaamua tu kumbagaza Rostam

Hapana, hana taarifa sahihi za mambo mengi.
Alipokuwa na uwezo wakuwa karibu na JPM awamu ya tano basi aliamini anajua kila kitu cha nchi hii kumbe sikweli anajua vichache sana tena vingine juu juu.

Mtu mwenye taarifa sahihi ukimsikiliza katikakati ya mistari utajua tu.

Inaonekana hata biashara za RA hazijui vizuri na mengi anaambiwa na wanaomwambia unaona kabisa nao hawajui.

Safarini Tandika Tanzania.
 
Wasalimie dabo kibini
 

Sasa mtu toka 1987 anafanya construction mnataka asiwe tajiri.

safarini Tandika Tanzania.
 
Intra energy 70%.
GOT kupitia NDC 30%.
Together ilikuwa Tancoal.

Taifa group wameacquire hizo 70% za Intra energy.

Safarini Tandika Tanzania.
Halafu anasema eti hajaanza kuchimba mawe,wakati caspian ipo huko miaka kadhaa sasa.Anawaona watanzania ni wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…