Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Tajiri Rostam Azizi ndio Mmiliki wa Sasa wa Kampuni za Tigo na Zantel
Pia, soma=>Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialism economy
Pia, soma=>Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialism economy
Rostam Aziz na Kampuni ya Madagascar, Axian Group Ltd ni wamiliki wapya wa @Tigo_TZ baada ya kukamilika biashara ya mauziano na wamiliki wa awali Millicom International Cellular SA (NASDAQ-TIGO) na dili hilo limehusisha US$100M.
Katika taarifa ya Millicom International kwa umma. Hivyo, sasa Rostam anakuwa mwenyekiti wa Kampuni tanzu, MIC Tanzania.
Pia kwa pamoja na Axian Group Ltd wanamiliki kampuni ya Mawasiliano ya simu ya ZANTEL.
Imethibitishwa na CEO wa Millicom, Mauricio Ramos