Rostam Aziz mmiliki mpya wa tiGO Tanzania na Zantel

Rostam Aziz na Kampuni ya Madagascar, Axian Group Ltd ni wamiliki wapya wa @Tigo_TZ baada ya kukamilika biashara ya mauziano na wamiliki wa awali Millicom International Cellular SA (NASDAQ-TIGO) na dili hilo limehusisha US$100M.

Katika taarifa ya Millicom International kwa umma. Hivyo, sasa Rostam anakuwa mwenyekiti wa Kampuni tanzu, MIC Tanzania.

Pia kwa pamoja na Axian Group Ltd wanamiliki kampuni ya Mawasiliano ya simu ya ZANTEL.

Imethibitishwa na CEO wa Millicom, Mauricio Ramos
Kwa iyo vibali vyote vimepitia kwa Nape?
 
Afadhali huyu hana njaa sana atapumguza gharama za vifurushi.

Ogopa kuajiriwa na mtu maskini ambaye nayeye ana ganga njaa humo humo.
 
Familia ya Rostam kama familia zingine za wenye asili ya Asia zimetajirika zamani hata kabla ya nchi kupata uhuru. Ni wafanya biashara wazuri. Wengi walikimbia Azimio la Arusha walihamia UK, Canada maana Nyerere alitaifisha biashara na mali zao baadaye zikamshinda. Kikwete enzi zile alienda Canada, US, UK kuwaomba warudi kama yule Museveni alivyowaomba WaAsia waliofukuzwa na Idi Amin warudi.
 
Kwamba canada na Uk siku hizi kunaongewa Kisukuma.
 
Ana hisa zina nguvu hadi kuwa mwenyekiti wa kampuni mama ya Tigo. Hatujui nguvu yake huko Zantel. Kiufupi halijakaa kiushindani.
Zantel inamilikiawa na Tigo.

Na Rostam Share zake Voda ambayo ni kampuni kubwa Kuliko Tigo zilikuwa ni asilimia 30, kuna maajabu gani Akimiliki Tigo?

Na kwako Ushindani ni mgeni mmoja kama Millicom Toka Luxembourg amiliki Kampuni Tanzania lakini kampuni hio hio hapaswi kumiliki Mzawa?
 
Back
Top Bottom