Shida sio uzawa, shida ni Rostam.Zantel inamilikiawa na Tigo.
Na Rostam Share zake Voda ambayo ni kampuni kubwa Kuliko Tigo zilikuwa ni asilimia 30, kuna maajabu gani Akimiliki Tigo?
Na kwako Ushindani ni mgeni mmoja kama Millicom Toka Luxembourg amiliki Kampuni Tanzania lakini kampuni hio hio hapaswi kumiliki Mzawa?
Mbombo ngafu🤣🤣🤣🤣🤣
Uliwahi kuona mikataba ya MAFISADI wa CCM hata siku moja?!Mkuu Trillion, utapeli wa Rostam uko wapi kwenye hii transaction? Rostam mtu binafsi ameinunua Tigo/ Zantel ambayo ilikuwa inamilikiwa na Milicon International Cellular ya Luxembourg. Wala hajanunua TTCL
Alishauza Voda zamani tu, alimuuzia Marehemu Mfuruki. Na Zantel na Tigo ni kampuni moja. Brand tofauti. Aliezifanya Zantel na Tigo kuwa kampuni moja si yeye, bali ni Milicom ambao waliinunua Zantel na Tigo pamoja. Rostam amezikuta tayari ni kampuni moja, kosa lake lipo wapi?Siyo ugeni na uzawa. Kiushindani si sawa mtu kumiliki kampuni mbili zinafanya kazi moja. Ni kama mtu umiliki Simba na Yanga.
Najua mkuu ILA ni ya nani mkuu 😄Utabaki kusikia mzee hii dunia siyo ya wazazi wako.
Kuna 40miTanzania ni nchi yenye ardhi kuubwa sana ambayo iko tupu kabisa na inarutuba, mito inayotiritika nk...
sasa hivi kila kijana, Mzee na watoto wote wanasiasa kutwa kuta kujadili siasa, Man U , Madrid nk....gharama za usajili wa hivyo vilabu, na taarifa zake zote...Ila sasa muulize huyo mtanzania bei ya mahindi alipo, au namna anaweza hata kulika mchicha tuta tatu...
Uvivu unatufanya tuamini hawa wanasiasa watakomboa maisha yetu....wakati unaishi Dar yenye wakazi zaidi ya 3mil na unashindwa kufikiri kupitia hii population unajikomboaje? au hapo mtaani kwenu kwenye wakazi 1000 wanawezaji kila siku kukupa tsh 100?
Kuna hekari milioni arobaini zinazofaa KWA kilimo.Tanzania ni nchi yenye ardhi kuubwa sana ambayo iko tupu kabisa na inarutuba, mito inayotiritika nk...
sasa hivi kila kijana, Mzee na watoto wote wanasiasa kutwa kuta kujadili siasa, Man U , Madrid nk....gharama za usajili wa hivyo vilabu, na taarifa zake zote...Ila sasa muulize huyo mtanzania bei ya mahindi alipo, au namna anaweza hata kulika mchicha tuta tatu...
Uvivu unatufanya tuamini hawa wanasiasa watakomboa maisha yetu....wakati unaishi Dar yenye wakazi zaidi ya 3mil na unashindwa kufikiri kupitia hii population unajikomboaje? au hapo mtaani kwenu kwenye wakazi 1000 wanawezaji kila siku kukupa tsh 100?
Rest easy Ali Mafuruki.Alishauza Voda zamani tu, alimuuzia Marehemu Mfuruki. Na Zantel na Tigo ni kampuni moja. Brand tofauti. Aliezifanya Zantel na Tigo kuwa kampuni moja si yeye, bali ni Milicom ambao waliinunua Zantel na Tigo pamoja. Rostam amezikuta tayari ni kampuni moja, kosa lake lipo wapi?
Great man indeed. We will remember him.Rest easy Ali Mafuruki.
Godoro nikaibukia Sofa ,maana sofa ni multi-purpose
Lazima wajinga wamshukuru samia kwa kuiuza nchi na kuirudisha mikononi mwa walaji ambao Tanzania ndiyo biashara zaoUuzwaji wa Makampuni napo kuna kumshukuru huyo bibi!
Emu acheni basi kumpa sifa ambazo hastahili
itazuia CCM kuiuza nchi wakakavyo !! Miaka 60 ya huru bado tunahangaika na madawati shule za msingi... sasa tutarusha lini hiyo Satellite yetu.Katiba mpya itazuia investments?!
Ukweli mchungu huuTanzania ni nchi yenye ardhi kuubwa sana ambayo iko tupu kabisa na inarutuba, mito inayotiritika nk...
sasa hivi kila kijana, Mzee na watoto wote wanasiasa kutwa kuta kujadili siasa, Man U , Madrid nk....gharama za usajili wa hivyo vilabu, na taarifa zake zote...Ila sasa muulize huyo mtanzania bei ya mahindi alipo, au namna anaweza hata kulika mchicha tuta tatu...
Uvivu unatufanya tuamini hawa wanasiasa watakomboa maisha yetu....wakati unaishi Dar yenye wakazi zaidi ya 3mil na unashindwa kufikiri kupitia hii population unajikomboaje? au hapo mtaani kwenu kwenye wakazi 1000 wanawezaji kila siku kukupa tsh 100?
Nadhani kwa wakati ilikuwa ni Statutory Requirement hizi kampuni za simu zote ziwe listed DSE. Kwa bahati mbaya mwenendo wa hisa za Voda haukwenda vizuri uliingiliwa na Siasa matokeo yake Zikaangukia pua. Hii ikasaidia kampuni nyingine ziishie njianiKiherehere cha Voda tu, wengine waliona watulie maana haina faida kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
mama yeye anasemajeFununu tanzaniteone nayo kachukua
Hiyo mvua iko wapi au unaishi mbinguni?Kuna 40mi
Kuna hekari milioni arobaini zinazofaa KWA kilimo.
Population ya 60 sth million citizens.
Kuna uhitaji wa tani laki 3 za mafuta ya kupikia.
Ni hayo tuu KWA uchache
sijui anataka afanywe wapi?Sasa kosa la rostam hapa ni lipi mpaka ulalamike kuwa ufanywe chochote?
Haya ni majangili tupu hakuna loloteFamilia ya Rostam kama familia zingine za wenye asili ya Asia zimetajirika zamani hata kabla ya nchi kupata uhuru. Ni wafanya biashara wazuri. Wengi walikimbia Azimio la Arusha walihamia UK, Canada maana Nyerere alitaifisha biashara na mali zao baadaye zikamshinda. Kikwete enzi zile alienda Canada, US, UK kuwaomba warudi kama yule Museveni alivyowaomba WaAsia waliofukuzwa na Idi Amin warudi.
KurudishiwaHajauziwa jana wameuziana miaka miwili iliyopita Nape hakua hata na dalili yakuludishiwa uwaziri
But Rostam ni tajiri kupita kiasiZantel inamilikiawa na Tigo.