Rostam Aziz na FAIDA ya kuwa karibu na Mtoto wa Rais

Kwenye deals zote kubwa chafu RA hawezi kukosekana. Hata DPW, mirafi ya uporaji mbuga za wanyama na hifadhi za misitu, mipango yote ilisukwa na RA. Akina Mbalawa, Abdul na Johari, na Mama, wameingizwa mwishoni kwaajili tu ya kuukamilisha wizi.

Wakati wote huziingiza familia za watawala ili kurahisisha deals zake.
 
Watanzania tumezidiwa akili nchi imetekwa miaka mingi sana, Iko chini ya wahuni wameshika remote wanabadilisha chaneli kadili wawezavyo.

Hawa wanasiasa wote mnaowaona ni sehemu ya mateka na ni kama waajiliwa tu wa watu walioko gizani (dark world).
Tanzania ni shamba lao tu ambalo linauongozi kuanzia bwana shamba mpaka mkata makani.
 
wewe acha uongo,rostam ni multi bilionea,fanya utafiti kwanza,rostam ana makampuni yanafanya biashara dunia nzima,na utajiri wake ni wa miaka na miaka
 
Kupanga ni kuchagua.

Wewe unachagua rafiki zako sawa na uwezo wako wa kufikiri.

Mwenzio akichagua rafiki zake sawa na uwezo wake wa kufikiri kwa africa inakuwa nongwa.

Binafsi ninamwandikia hadi leon mara kwa mara kutaka aje kununua tz. Annexation.

Nimeapply Haya safari ya kwenda kuishi tayari ya mars

Nikitoboa mtaanza nongwa zenu.

Kupanga ni kuchagua
 
Umeelezea vyema sana. Hata kwenye riwaya ya the godfather iliyoandikwa na mario puzo kuhusu ulimwengu wa kimafia hichi kitu kimeelezewa sana . Hao kingmaker wakipata loopholes kama za wanasiasa wenye tamaa ambao wakiona pesa ndefu kwenye offer ya hao kingmaker wanaanguka saini ya mikataba ya ajabu. Au kutoa vibali batili vya makampuni ya kimataifa ya wapiga madili. Kwa sababu washalainishwa na grease(vipande 30 vya fedha).
 
Huyo rostam aziz namwona genious sana maana anatembea na msemo wa 'MAKE HIM AN OFFER HE CAN'T REFUSE'. Na anautumia vyema kwa wanasiasa wa bongo. Anajua namna ya 'how to pull the string'
 
Achana na ROSTAM ni level nyingine kabisa hii nchi hamna kitu utaandika utaongea kwa ajili yake ukasikilizwa.

Serikali yenyewe inamtambua kama First Born wa nchi sasa wewe n nani kumsema First Born..

Huyo ndio Rostam ana akili halafu ana Pesaa kama vile anazichota mahali kumbe anazitafuta kama sisi tu.
 
Umemaliza kila kitu Kiongozi..Watawala wetu muda wote WAMEACHAMA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…