Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Makonda alimwambia hayo akiwa kama nani? Unapenda sana kujipa airtime mheshimiwa RC. 😀😃😄😁Makonda alimwambia atupishe arudi alikotoroshea familia yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda alimwambia hayo akiwa kama nani? Unapenda sana kujipa airtime mheshimiwa RC. 😀😃😄😁Makonda alimwambia atupishe arudi alikotoroshea familia yake
Rostam ameanza kuchuma hela Bongo tangu enzi za Mkapa Kwa kutengeneza uswahiba na Watawala huku wakigawana 10% kwenye Kila deal.
Kwahiyo hata Kwa Samia, hali peke yake
Yupo hapo kuhakikisha royal family za Kikwete na Samia zinaendelea kujinufaisha na Mali na biashara ambazo wanazichuma kwenye migodi/mazao ya biashara/makampuni ya mafuta/Viwanda/makampuni ya Ujenzi n.k wakati huu ambapo Rais aliyepo madarakani wanammudu
Kwenye deals zote kubwa chafu RA hawezi kukosekana. Hata DPW, mirafi ya uporaji mbuga za wanyama na hifadhi za misitu, mipango yote ilisukwa na RA. Akina Mbalawa, Abdul na Johari, na Mama, wameingizwa mwishoni kwaajili tu ya kuukamilisha wizi.Rostam ni legendary huyo Abdul ni mtoto mdogo, Rostam ameanza kufanya mambo yake huyo Abdul hakuwahi wala kuota Mama yake kuwa hapo.
King maker kama king maker anadeal na mama mwenyewe na sio huyo dogo, level za. King maker ni kubwa sana na hii nchi haiwezi tena.
JPM na misimamo yake yote kwa king maker alitulia na ikabidi amsogeze karibu ili mambo yaende, King maker anaakili nyingi na connection kubwa worldwide na inawezekana pia ni agent wa mashirika makubwa ya ujasusi kuanzia M16 mpaka CIA.
Njaa na tamaa za wanasiasa wetu ndio zimemleta king maker barabarani.
Wafrika walivyo na urafi wa madaraka kwa RA hawachomoi
wewe acha uongo,rostam ni multi bilionea,fanya utafiti kwanza,rostam ana makampuni yanafanya biashara dunia nzima,na utajiri wake ni wa miaka na miakaRostam Aziz na kampuni hidden 80, kweli una nia njema na Serikali ya Dr Samia una kampuni zaidi ya 80 za siri why?
Lazima Rostam Aziz aangaliwe watanzania tusije kulia mbeleni.
Rostam Aziz ameendelea kutisha wawekezaji wazawa nchini, Sawa Kwenye Sukari ametumia kampuni za simu, vifaa, Stationery nk amefanikiwa kwa kuwa Bashe kijana wake alicheza vema karata kutokana na umbumbumbu wa Watanzania walio wengi.
Kwenye madini napo kafika Kwenye Migodi inayomilikiwa na Barrick Gold corporation kwa kuja na kampuni hidden inaitwa SWALA SOLUTION ambayo kimkakati kwa sababu ya kujuana na Mtoto wa Rais inaweza kuiua Twiga kampuni ya kizawa anyway hayo tuyaache kwanza.
Sasa Rostam Aziz ametua Kwenye gesi huko Mtwara analazimisha Wafanyabiasha kumpatia hisa Kwenye Makampuni yao kuwa wakikataa atawaondoa Kwani amemshika mtoto wa Rais na serikali nzima iko mikononi mwake.
Mambo Yale Yale ya Kwenye Migodi ndo hayo hayo anayapeleka Kwenye gesi kuomba Share kwa Lazima.
Na kila anapofanya uwekezaji huo uchwara anatumia Majina ya kampuni fake, kampuni ambazo anatumia Majina ya Ndugu, jamaa na marafiki zake, Kama Kweli Rostam Aziz Ni Mfanyabiashara anayehitaji kumsaidia Mtoto wa Rais kibiashara katika Taifa kwa nini atumie Majina feki kampuni zisizojulikana, kwa nini anadanga serikali, Ni ukwepaji Kodi mtu ana Makampuni 80 yasiyojulikana, Lazima Watanzania tuanze kuutafuta Ukweli na tuuweke hapa tutataja kampuni zake zoote zisizojulikana hapa na Mhe Rais ataambiwa kuwa makini na Rostam Aziz.
View attachment 3072986
Alikimbilia Kenya kuuza gesi, wakamshtukia. Hapa kwetu kila kitu ruksa.Tukiwaambia JPM alikua kiboko ya matapeli mnaona kama tunatania huyo jamaa alikimbia nchi baada ya kuona JPM hacheki na kima.Sasa amerudi.
Kupanga ni kuchagua.Rostam Aziz anasemekana kuwa na kampuni hidden 80, kweli una nia njema na Serikali ya Dr. Samia una kampuni zaidi ya 80 za siri why?
Lazima Rostam Aziz aangaliwe watanzania tusije kulia mbeleni.
Rostam Aziz ameendelea kutisha wawekezaji wazawa nchini, Sawa Kwenye Sukari ametumia kampuni za simu, vifaa, Stationery, nk, amefanikiwa kwa kuwa Bashe kijana wake alicheza vema karata kutokana na umbumbumbu wa Watanzania walio wengi.
Kwenye madini napo kafika Kwenye Migodi inayomilikiwa na Barrick Gold corporation kwa kuja na kampuni hidden inaitwa SWALA SOLUTION ambayo kimkakati kwa sababu ya kujuana na Mtoto wa Rais inaweza kuiua Twiga kampuni ya kizawa anyway hayo tuyaache kwanza.
Sasa Rostam Aziz ametua Kwenye gesi huko Mtwara analazimisha Wafanyabiasha kumpatia hisa Kwenye Makampuni yao kuwa wakikataa atawaondoa Kwani amemshika mtoto wa Rais na serikali nzima iko mikononi mwake.
Mambo Yale Yale ya Kwenye Migodi ndo hayo hayo anayapeleka Kwenye gesi kuomba Share kwa Lazima.
Na kila anapofanya uwekezaji huo uchwara anatumia Majina ya kampuni fake, kampuni ambazo anatumia Majina ya Ndugu, jamaa na marafiki zake, Kama Kweli Rostam Aziz Ni Mfanyabiashara anayehitaji kumsaidia Mtoto wa Rais kibiashara katika Taifa kwa nini atumie Majina feki kampuni zisizojulikana, kwa nini anadanga serikali, Ni ukwepaji Kodi mtu ana Makampuni 80 yasiyojulikana, Lazima Watanzania tuanze kuutafuta Ukweli na tuuweke hapa tutataja kampuni zake zoote zisizojulikana hapa na Mhe Rais ataambiwa kuwa makini na Rostam Aziz.
View attachment 3072986
Umeelezea vyema sana. Hata kwenye riwaya ya the godfather iliyoandikwa na mario puzo kuhusu ulimwengu wa kimafia hichi kitu kimeelezewa sana . Hao kingmaker wakipata loopholes kama za wanasiasa wenye tamaa ambao wakiona pesa ndefu kwenye offer ya hao kingmaker wanaanguka saini ya mikataba ya ajabu. Au kutoa vibali batili vya makampuni ya kimataifa ya wapiga madili. Kwa sababu washalainishwa na grease(vipande 30 vya fedha).King maker ni mshiriki muhimu wa ile gang maarufu ya Boyz 2 men akiwa kama financial controller and all businesses involving money within the gang, ikiwa pamoja na masuala yote ya uchumi wa gang ( kuanzia kukusanya hela nk)
Undercover, kingmaker akawa na akili kuliko member wote wa hiyo gang, he is not a politician but he is international businessman with the exposure all over the world ( he can play internationally).
An opportunistic who focus in business where there is loophole.
Bahati mbaya sana we are at the middle of business cartels who running the show everywhere.
Wanasiasa wengi wana tamaa ya kushinda uchaguzi na ili wapate hela kupitia siasa na wawe na power pia, wafanyabiashara wenye akili wameliona hili na kuchukua jukuma lakuwa financer wa political business in Tanzania and at the end we are all slave of them.
Kuna mengi sana in dark world, welcome to the dark.
Alaa kumbe?!Tukiwaambia JPM alikua kiboko ya matapeli mnaona kama tunatania huyo jamaa alikimbia nchi baada ya kuona JPM hacheki na kima.Sasa amerudi.
Alikua ana mvuta aingie kwenye kumi na nane zake..JPM kichwa kile achana nacho na angeingia tu angepukutishwa vihela vyote.Shujaa Magufuli: Rostam Aziz gombea Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini 2025
Umemaliza kila kitu Kiongozi..Watawala wetu muda wote WAMEACHAMA!Rostam ni legendary huyo Abdul ni mtoto mdogo, Rostam ameanza kufanya mambo yake huyo Abdul hakuwahi wala kuota Mama yake kuwa hapo.
King maker kama king maker anadeal na mama mwenyewe na sio huyo dogo, level za. King maker ni kubwa sana na hii nchi haiwezi tena.
JPM na misimamo yake yote kwa king maker alitulia na ikabidi amsogeze karibu ili mambo yaende, King maker anaakili nyingi na connection kubwa worldwide na inawezekana pia ni agent wa mashirika makubwa ya ujasusi kuanzia M16 mpaka CIA.
Njaa na tamaa za wanasiasa wetu ndio zimemleta king maker barabarani.
Sikupingi. Ukijumlisha na elimu yao tena!Umemaliza kila kitu Kiongozi..Watawala wetu muda wote WAMEACHAMA!
Huuoni ubaya katika hali ya mambombo hayo. Kweli yafaa uonewe hurumaUbaya uko wapi, una uhuru wa kutafuta marafiki of your own choice, hajaibia mtu uoyote acheni kuchukia watu.
Mhindi hawezi kuwa na nia nzuri na sisiTapeli