Jiwe alilikosea sana Taifa.Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Acha ujingaJiwe alilikosea sana Taifa.
Hawa watu uliowataja watoe maelezo gani wakati kila mtu anajua wanahusika na tukio hiloHii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Waseme nini sasa wakijitikeza maana kila kitu hadharaniHii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Ujinga gani mkuu?Acha ujinga
Ipo siku mtanikumbuka tena kwa mazuriMkiipata hotuba ya Mheshimiwa Magufuli pale anazindua stend ya Magufuli aliongea kitu japo siyo direct
aisee umeongea point kubwa SanaYani ukisikia pia KATOLIKI ni MAJASUSI utanielewa maana toka Bandari iuzwe kwa DP WORLD kanisa langu Katoliki walikua wa kwanza kupinga ubinafsishaji wa Bandari yetu na wakatoa Tamko chini ya Baraza la Maaskofu ila mnakumbuka walionekanaje?
Kwanza Kuna walioona kanisa linaingilia Siasa na Dini ila Ile ni kutu alert kuwa yanayoendelea Sasa hivi nchi inapigwa mtungo mbele na Nyuma (Mande).
Kuna waliokuja na Hoja za Chuki ya Udini kwamba sababu wamepewa Waarabu waislam basi Mapadre wamemind ๐๐๐ hawatapisha vitu vyao Sasa hivi nafikiri mnaona wenyewe Wana mtandao wanavyopasua mabomu ya Hiroshima Kwanza Katoliki Ina shida mpka ililie Bandari๐๐ ๐kisa wangeshindwa kulipa ushuru wa Magari yao 0Km labda wangekua wanaimport Nguruwe๐๐๐kutoka Oman kuja Bongo
Ni jukumu la kiongozi yoyote wa Dini kukemea maovu yanayofanywa na watawala haijalishi hyo mtawala ni nani maana hata Yesu alikosolewa na kukemewa na Mafarisayo sembuse watawala wasikosolewe au wakinya wao choon havinuki kama vinanuka na watakufa ni binadamu lazima ni wajibu wa viongozi wa dini kukosoa Tatizo viongozi wengi wa dini Tanzania Njaa Kali ukichanganya na minyoo
Walimuua, unataka maelezo gani tena?Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Hii sio bahati mbaya hata kidogo

Watu hawatanielewa ila nlichojifunza hii ya kupeana URAIS kwa kupokezana mara dini hii au hii mda mwingne kama hamna mtu mwenye vigezo Bora yule atakayepatikana hata kama dhehebu au dini itajirudia apewe maana sio kwa ubaya ila kama Kuna watu wakishaingia mambo yanaharibika Yani THINGS FALL APART mbona Zanzibar hawafanyi hayo mabadiliko UKWELI NI MCHUNGU USEMWEaisee umeongea point kubwa Sana
Maelezo gani? Wao ndio walikuwa na Majeshi na Dola? ๐คฃ๐คฃHii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Hawa watu uliowataja watoe maelezo gani wakati kila mtu anajua wanahusika na tukio hilo
Aliye Nje ya Dola anawezaje mshughulikia No.1?Mpina naye aliwahi kudokeza kuwa Magufuli aliuawa. Mpina mara kadhaa alisema wazi kuwa kuundwe timu ya kuchunguza kigo cha Magufuli.
Binafsi sikuwahi kuwa mfuasi wa utawala wa kibabe wa Magufuli, lakini kamwe siwezi kuunga mkono mauaji dhidi ya mtu yeyote. Kama tulipiga kelele na kulaani shambulio dhidi ya Lisu, utekaji wa Ben Sanane, na wengineo; basi pia hatuwezi kuunga mkono vitendo hivyo hivyo dhidi ya mwingine yeyote awaye.