TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Huyu si asset Hana ngozi ngumu!Mpina naye....
Huyu si asset Hana ngozi ngumu!Mpina naye....
Hebu iweke tujikumbusheMkiipata hotuba ya Mheshimiwa Magufuli pale anazindua stend ya Magufuli aliongea kitu japo siyo direct
😄Bepari yyt yule ukikaa kwenye njia yake anayopita unapasuka vipande vipande.
Mbona hamjadili juu ya nini kilisababisha kifo cha mpendwa wetu, Ben mkapa? / kifo cha ghafla! /kisa hakukubaliana naye!Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Jiwe limerushwa Kanda ya ziwa nyuki wameanza kuchachamaa akimaliza hapo jiwe litarushwa kwetu kusini hili tumalizane nao hao pimbi wawili.Kutoka Kanda ya ziwa mpaka kusini subiri uone kazi.Huyo Mama la mama sijui kama atatoboa kusini,mwendazake inshu ya korosho walimmezesha Moshi akasalimu amri.Yule kijana anayegombea pale A-town akiwa vuvuzela wa chama alitaka kufa kusini na hajawai Rudi na hatokanyaga.Mbona hamjadili juu ya nini kilisababisha kifo cha mpendwa wetu, Ben mkapa? / kifo cha ghafla! /kisa hakukubaliana naye!
Ha ha ha, kumbe mmetega mitambo yenu huko, basi rais wetu, amwachie mgombea mwenza kwa Kanda hizo! / apumzike kidogo, aje tu kufunga kampeni Dodoma 28/October /2025.Jiwe limerushwa Kanda ya ziwa nyuki wameanza kuchachamaa akimaliza hapo jiwe litarushwa kwetu kusini hili tumalizane nao hao pimbi wawili.Kutoka Kanda ya ziwa mpaka kusini subiri uone kazi.Huyo Mama la mama sijui kama atatoboa kusini,mwendazake inshu ya korosho walimmezesha Moshi akasalimu amri.Yule kijana anayegombea pale A-town akiwa vuvuzela wa chama alitaka kufa kusini na hajawai Rudi na hatokanyaga.
Magufuli na yeye aluikua muoga sana kwaninu asinge wamaliza yeye,yeye ana jeshi kilicho sababisha kushindwa kujitetea niniIpo siku mtanikumbuka tena kwa mazuri
Sasa yeye shetani anamzengea kwanini hakutusanua
Ila polepole wanamchukulia kitoto atakuja kulipasua Taifa.
Sisi wasukuma tunasema NRNE.
Kumbe ndugu yetu walimurahakisha away
Nadhani aliipenda nchi yake Tanzania kuliko yeye mwenyewe, thus why alisema vile pasipo kufungua code, lakini inaonesha alijua safari imekwisha. Hata ukisikiliza mahojiano ya binti yake Jesca na Millard Ayo, kuna sehemu anaeleza Baba yao aliwaita watoto wake wote wakaa nyumbani pamoja naye nk. Na zaidi sana damu ya mtu ni nzito sana, kuna mtajwa mmoja akiwa msibani aliongea maneno, ukiwa na D mbili kisema vijana, hakika unaweza unganisha dots. Nadhani kabla yake huenda wengi pia waliondoshwa katika kusafisha njia.Mkiipata hotuba ya Mheshimiwa Magufuli pale anazindua stend ya Magufuli aliongea kitu japo siyo direct
Kumuua Rais sio uhaini?Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Ben Sanane aulizwe yule MmachameMpina naye aliwahi kudokeza kuwa Magufuli aliuawa. Mpina mara kadhaa alisema wazi kuwa kuundwe timu ya kuchunguza kigo cha Magufuli.
Binafsi sikuwahi kuwa mfuasi wa utawala wa kibabe wa Magufuli, lakini kamwe siwezi kuunga mkono mauaji dhidi ya mtu yeyote. Kama tulipiga kelele na kulaani shambulio dhidi ya Lisu, utekaji wa Ben Sanane, na wengineo; basi pia hatuwezi kuunga mkono vitendo hivyo hivyo dhidi ya mwingine yeyote awaye.
Magufuli na yeye aluikua muoga sana kwaninu asinge wamaliza yeye,yeye ana jeshi kilicho sababisha kushindwa kujitetea nini
Unasemaa watatoboa kwenye uchaguzi wa mwaka huu upo serious kwelii,,yaanii bado Watz wengi ni wajinga??aliyekuambia wanategemea kura za wananchi kutoboa kwenye uchaguzii ni nani?? Yaani mpaka saivii hujui kwamba upige kura usipigee CCM itabakii madarakanii tuu!!!Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Si tumeambiwa mwaka huu uchaguzi haupo ila ni kiini macho tuu.upige kura usipige ushindi uko pale pale .Tumeambiwa kuna yale macable tayari wameaha yatestHii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Usijidanganye ndugu!Aliye Nje ya Dola anawezaje mshughulikia No.1?
Kwa akili yako watoke kuja kujichanganya? Hiyo move hawatoifanya kamweHii sio bahati mbaya hata kidogo