Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,505
- 2,192
Ni kweli unayoyaongea lakini Hivi hujagundua Kila hawa wenzetu wakiingia kwenye power wana haribu na kuboronga kishenzi siongei kizushi wala kinafiki ila nasema ukwel Cheki vipindi vifuatavyoNyerere alitaka kuiondoa hiyo hali kwa kumshawishi Salim Ahmed Salim achukue fomu baada ya mwinyi, bahati mbaya hakushawishika. Hayo ni maneno ya jk.
Lakini je ni kweli upande wa pili yaani wakristo wangelipokea hilo kwa moyo kunjufu ukizingatia tulikuwa tumetoka kwenye utawala wa mwinyi ambaye ni muislamu?
Vipi ikitokea watu wakatengeneza hila kwamba upande mmoja tu ndiyo wanaonekana Wana sifa na upande mwingine hawana sifa? Lakini yote kwa yote katiba ya ccm haina utaratibu huo
Kipindi cha A.H Mwinyi kama Kuna kipindi madini yalitoroshwa kupelekwa Uarabuni ni hichi kipindi mpaka aliyekua Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi kile Lyatonga Mrema Mzee wa Parole au Kiraracha akajiuzulu ni hapa ndio utajua watu wa Pwani ni Chenga na ndio chimbuko la Ufisadi lilipoanzia
Tukaenda kwa JK hapo sitaki kuongea Yani Kila aina ya Uchafu RICHMOND,DOWANS,MERWMETA,LIGANGA NA MCHUCHUMA na TEGETA ESCROW migawo mpka ya Masarandusi
Tukaja Bi Tozo Sa100 Yani hapa ndo hamna kitu kabisa ukisikia debe tupu Yan kashfa kama zote huku Kuna Upigaji wa Royal Tour,kule Hela za Covid Mara Abdul Kanunua Lamborghini, Bugati, Ferrari Skendo za Kuuza Bandari na Ngorongoro, Utekaji Udikteta Uhuni
Hawa wote nlowataja hapo Wana asili ya Pwani na kutoka dhehebu Fulani Fulani wanaosema wao Dini yao inataka haki lakini wao na washirika wao wamekua ni zaidi ya Mashetani ufuska wanaofanya hadi shetani anashangaa hawana roho ya kibinadamu na Utu Yani wako Radhi watu wafie hospitalini kwa kukosa Gharama za matibabu wao waonekane wamechaguliwa na Allah kutuongoza Tanzania Yani Allah wakawatuku na kuwajalia hekima wao waongoze kimsingi sijui kwa nini watu waupande huu ni WABINAFSI na WAMIMI Sana Hawana UZALENDO Hata kidogo.Lakini kwa Swala Hata Kumi ndo wanaongoza kuzisali Yani utakuta hata list ya majina ni hao hao inajirudia na ndgu zao wa Oman
Haya ni maoni yangu na Kimsingi Mimi siogopagi mtu kabisa wala kikundi cha mtu ila Hilo ndio JIPU NALOPASUA KWA LEO