Rostam Aziz na Kikwete watoke watoe maelezo ya kueleweka juu ya kifo Cha Magufuli!

Mbona hamjadili juu ya nini kilisababisha kifo cha mpendwa wetu, Ben mkapa? / kifo cha ghafla! /kisa hakukubaliana naye!
 
Mbona hamjadili juu ya nini kilisababisha kifo cha mpendwa wetu, Ben mkapa? / kifo cha ghafla! /kisa hakukubaliana naye!
Jiwe limerushwa Kanda ya ziwa nyuki wameanza kuchachamaa akimaliza hapo jiwe litarushwa kwetu kusini hili tumalizane nao hao pimbi wawili.Kutoka Kanda ya ziwa mpaka kusini subiri uone kazi.Huyo Mama la mama sijui kama atatoboa kusini,mwendazake inshu ya korosho walimmezesha Moshi akasalimu amri.Yule kijana anayegombea pale A-town akiwa vuvuzela wa chama alitaka kufa kusini na hajawai Rudi na hatokanyaga.
 
Ha ha ha, kumbe mmetega mitambo yenu huko, basi rais wetu, amwachie mgombea mwenza kwa Kanda hizo! / apumzike kidogo, aje tu kufunga kampeni Dodoma 28/October /2025.
 
Ipo siku mtanikumbuka tena kwa mazuri
Sasa yeye shetani anamzengea kwanini hakutusanua

Ila polepole wanamchukulia kitoto atakuja kulipasua Taifa.
Sisi wasukuma tunasema NRNE.
Kumbe ndugu yetu walimurahakisha away
Magufuli na yeye aluikua muoga sana kwaninu asinge wamaliza yeye,yeye ana jeshi kilicho sababisha kushindwa kujitetea nini
 
Mkiipata hotuba ya Mheshimiwa Magufuli pale anazindua stend ya Magufuli aliongea kitu japo siyo direct
Nadhani aliipenda nchi yake Tanzania kuliko yeye mwenyewe, thus why alisema vile pasipo kufungua code, lakini inaonesha alijua safari imekwisha. Hata ukisikiliza mahojiano ya binti yake Jesca na Millard Ayo, kuna sehemu anaeleza Baba yao aliwaita watoto wake wote wakaa nyumbani pamoja naye nk. Na zaidi sana damu ya mtu ni nzito sana, kuna mtajwa mmoja akiwa msibani aliongea maneno, ukiwa na D mbili kisema vijana, hakika unaweza unganisha dots. Nadhani kabla yake huenda wengi pia waliondoshwa katika kusafisha njia.

Uzuri ni kwamba hata kama tuliambiwa Mwenyezi Mungu aliamua ugomvi, sote njia yetu ni moja, na wengine walikwisha tangulia tena huenda kwa utata hivyo hivyo.
 
Kumuua Rais sio uhaini?
 
Kwenye kujitetea wanaweza kuacha maswali zaidi kasikilize hotuba za hao kwenye mazishi ya Magufuli kuna kitu unaweza kupata
 
Ben Sanane aulizwe yule Mmachame
 
Unasemaa watatoboa kwenye uchaguzi wa mwaka huu upo serious kwelii,,yaanii bado Watz wengi ni wajinga??aliyekuambia wanategemea kura za wananchi kutoboa kwenye uchaguzii ni nani?? Yaani mpaka saivii hujui kwamba upige kura usipigee CCM itabakii madarakanii tuu!!!
 
Si tumeambiwa mwaka huu uchaguzi haupo ila ni kiini macho tuu.upige kura usipige ushindi uko pale pale .Tumeambiwa kuna yale macable tayari wameaha yatest
 
Kwa akili yako watoke kuja kujichanganya? Hiyo move hawatoifanya kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…