Rostam Aziz na Kikwete watoke watoe maelezo ya kueleweka juu ya kifo Cha Magufuli!

Kwani wao ni wafanyakazi wa Mzena? Au wakuu wa vyombo ? Maana wakuu wavyombo ndio walio simamia matibabu ya Rais kwa maneno yao
 
Hapo wakutoka kutoa majibu ni TISS, POLISI, JWTZ, Mahakama, Yaani sisi tumsikilize Rostam na kikwete tena si tutakua Wajinga
 
Kubomoa system zao ilikua rahisi tu, Sema walimkuta Magufuli Muoga. angemtolea mfano mmoja wapo lazima wengine wangekimbia nchi, Kwa mfano angekua Nyerere au Butiku wange waweza?
Kuna wakati unachokiogopa ndicho kinachokukuta!
 
Nyerere alitaka kuiondoa hiyo hali kwa kumshawishi Salim Ahmed Salim achukue fomu baada ya mwinyi, bahati mbaya hakushawishika. Hayo ni maneno ya jk.

Lakini je ni kweli upande wa pili yaani wakristo wangelipokea hilo kwa moyo kunjufu ukizingatia tulikuwa tumetoka kwenye utawala wa mwinyi ambaye ni muislamu?
Vipi ikitokea watu wakatengeneza hila kwamba upande mmoja tu ndiyo wanaonekana Wana sifa na upande mwingine hawana sifa? Lakini yote kwa yote katiba ya ccm haina utaratibu huo
 
Hawana na hawajawahi kuwa na Aibu hao unawataja, wala hawaogopi chochote, kila kitu nchi hii wanakimiliki kuanzia vyombo vya Usalama hadi Waganga wa kienyeji
 
Nitamuamini zaidi Polepole siku atakapo wataja waliohusika na kupigwa kwa Lissu risasi, lazima anawajua wote
 
Huo Ujinga wa kupokezana Wakristo na Waislam Umetungwa tu na Wahuni, haupo
 
Hapo wakutoka kutoa majibu ni TISS, POLISI, JWTZ, Mahakama, Yaani sisi tumsikilize Rostam na kikwete tena si tutakua Wajinga
Ni kweli kabisa, kama mpendwa wetu aliuawa basi vyombo vinavyohusika na ulinzi wake ndiyo vinatakiwa vitueleze vizuri walikuwa wapi wakati hii hali ikitokea.
Inawezekana hao watu wanaotajwa ni kuwaonea tu maana Kama unaushahidi uliotimia upeleke
 
Wanaoleta fikra za udini ni hawa ndugu zetu wazee wa Pilau mbuzi Pepsi barid na ndizi mbivu mfuko wa koti!!!
 
Kikwete ana akili timamu na ni tajiri.
Rostam pia ana akili timamu, pesa haikai kwa mpumbavu.
Hawawezi kuwajibu nyie matahira
 
Mzee huyu tulimheshimu kama mtu muhimu kumbe alishindwa kuvumilia akamtanguliza mwenzie.Yeya rafiki yake nq huyo dokta anayezunguka huko nje.Hii laana itawatafuna na mtailipia!
 
👊👊
👊👊
 
Kikwete has been mentioned several times in involvement of Magufuli's death, if these allegations are true may he knows no peace in the rest of his life, Magufuli's spirit will haunt him whenever he goes!!!
 
Kikwete ana akili timamu na ni tajiri.
Rostam pia ana akili timamu, pesa haikai kwa mpumbavu.
Hawawezi kuwajibu nyie matahira
Hata vikaragosi wa dikteta wa zamani wa Romania Nicolae Ceaușescu walikuwa wanasema hivi hivi hadi bosi wao alivyopigwa pini ya kufa mtu
 
Magufuli na yeye aluikua muoga sana kwaninu asinge wamaliza yeye,yeye ana jeshi kilicho sababisha kushindwa kujitetea nini
Ukijua hivi...wenzako wanajua vile
Game ya timing...
JIWE alijua Msoga Hana madhara...maana alitrack simu/ movement...hata Kwenda nje ya nchi ilikuwa mtihani...

Kumbe wenzao wanawasiliana kwa Codes na barua...ile stail ya kutuma dereva wa gari au unatumia bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…