not only powerful man,Nimekuwa nikikutana na maneno meni mtandaoni kuwa Rostam ni Master Mind, Nide mtu powerful zaidi nchini, Viongozi wakubwa tunaowaona nyuma yao yupo yeye, ni mtu mwenye pesa nyingi sana.
Ila yote hayo anayoyafanya ni kwa chini chini hapendi kelele,
NI KWELI ?
Nadhani ndie alikuwa mwenye hisa nyingi zaidi Vodacom. Pia ndie mmiliki wa Taifa Gas.Mmiliki wa Yas ni nani? Ikumbukwe mitandao ya Tigo na Zantel ilinunuliwa kwa siku moja (yani kama wewe unavyoenda sokoni kununua nyanya na vitunguu kwa pamoja) na sasa imeunganishwa inaitwa Yas.
Rostam amemnunua KIKWETE, ZITTO na genge lao lote linalowazunguka ikiwemo baadhi ya viongozi wa dini kama kina PENGO na MALASUSA.Nimekuwa nikikutana na maneno meni mtandaoni kuwa Rostam ni Master Mind, Ni mtu powerful zaidi nchini, Viongozi wakubwa tunaowaona nyuma yao yupo yeye, ni mtu mwenye pesa nyingi sana kuzidi hata matajiri maarufu tunaowajua, wengine wamefikia kusema kwamba hata viongozi hawa tunaowana watata hawana ubavu wa kuinga anga zake
Hata hivyo, wengi pia wanasema kuwa hapendi kelele kabisa, hupenda kufanya mambo yake kimya bila attention.
NI KWELI ?
Ulimi uliteleza kutoa Siri za ndani. Angesema hivyo hohe hahe aone motoAliwahi kusema mahakama za Tanzania ni mtu anapiga simu moja tu na hukumu inabadilishwa. Nilicheka nilivyosikia alivyozungumza hivi.
not only powerful man,
but the tycoon is very brilliant in business politics in Africa. Full stop.🐒
ok.🐒ah wapi, btw vp nmg, keshainunua? ...
Alishtakiwa ?Aliwahi kusema mahakama za Tanzania ni mtu anapiga simu moja tu na hukumu inabadilishwa. Nilicheka nilivyosikia alivyozungumza hivi.