Mkuu Dar es Salaam, twende hoja kwa hoja factual kwa factual.
Report ya Dr. Mwakyembe imemtaja Mr Saleh kwamba alikuwa ndumi la kuwili, yaani alikuwa akivujisha habari kwa Mr. Gire. Mimi personal nililizungumzia swala hili mwezi October 2007.
Jakaya alipokuwa mambo ya Nje, alikuwa na partner wake France ambaye kwa sasa yupo US, huyu partner wa JK amemuoa mtoto wa Mr. Saleh, na Mr Saleh na Gire wamekwenda wote shule. Sasa you talk to me, can you connect those factual dots?
Jakaya alikuja summit ya UN 2006, alifika New York na akalala continental Hotel, baadhi ya wadau wakwanza kwenda kumuona ni mshikaji wake wa Ufaransa aka mkwe wa Mr.Saleh which is best friend of Gire.
Now who own DOWANS, Mr. Gire amewauzia deal DOWANS kutoka Richmond. Nani mkurugenzi wa DOWANS kwa sasa? Mr Saleh ndio mkurugezi, na baada ya deal ya Richmond kuwa seal off, Mr. saleh aliachia madaraka TANESCO kwa kisingizio cha kuretire na kujiunga na DOWANS. Sasa do you need PhD ya math kusolve hii puzzle?
I know CCM send you here, lakini waambie kwamba hawa watu wanaform JF sio arrogant waliosoma DSJ. We have people from each corner of the world with different capability. Niliwaonya Watanzania kuhusu Richmond kabla haijafumuka. Now Mr dar es salaam twende hoja kwa hoja, tusiwe kama CCM Jino kwa Jino.
Muhamed Gire===>Mr Saleh====>mkwe wake====>Jakaya Mrisho Kikwete. that is simple chain, now mwambie JK akanushe haya, au mwambie J. Makamba amshauri aje na new strategy.